Hivi Member wa JF mpaka Saa 7 hii Kasoro hujalala ukiitwa Mchawi au Mpiga Chabo au Kibaka utakataa?

unalalaje wakati chumba kimejaa maji na huko nje kuna dalili za mvua.
 
Karibu Sana kwa wanaoongea Igbo.....wajinga wenye akili ya panya wakiwa nje ya nchi yao.
 
wewe unataka watu walale uwawangie nn? halali mtu hapa we toka msalani ludi ukalale.
 
Usiku kwako kwa wengine mchana ujasoma geography nn,wengine tuko USA,wengine wanafanya Kazi za shift usiku,kwenye station za redio,TV,viwanda ni,madereva wa Magari usiku,manesi,maaskari,nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…