Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

messi ni messi na wengine waliobaki ni wachezaji tu
 
Ni vigumu kulinganisha moja kwa moja watu waliocheza era tofauti ila kwa era yake ni bora zaidi. Kwa kuwa msemaji kawashuhudia wote na katoa mtazamo wake nadhani yupo sahihi
Ni kweli kabisa, kuwalinganisha sio kuwatendea haki, wote wamekuwa wazuri katika wakati wao hivyo sio rahisi kusema yupi ni bora zaidi
 
Messi kwangu mimi ni mchezaji bora wa wakati wote ambaye nimemshuhudia kwa macho yangu mwenyewe.

Walau na mimi nimepata cha kuzungumza kwa wajukuu zangu.

Hii imekaa safi.

Binafsi sijawahi kuwaona kina pele, maradona, platini. So siwezi kusema kama ni bora au la!!

Nitawajudge wale niliowaona kwa macho yangu. So far Messi na Cr7 nitawasimulia wanangu na wajukuu.
 
pele alikuwa mashine nyingine. mechi 1360 goli 1200. unaifahamu runaround move?
 
lumanyisa;

Messi huyo huyo ndie anayevunja rekodi za akina Pele na Zidane na Ronaldinho. Mpira ni zaidi ya mbwembwe uwanjani, ule mpira wa kucheza na jukwaa haupo tena siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Messi huyo huyo ndie anayevunja rekodi za akina Pele na Zidane na Ronaldinho. Mpira ni zaidi ya mbwembwe uwanjani, ule mpira wa kucheza na jukwaa haupo tena siku hizi.
kwa hesabu za haraka haraka akivunja
rekod ya pele ina maana hakuna mwingine zaid yake
 
siyo kweli, jamaa hakuwa mviziaji alikiwa anakokota mpira ni balaa. alikuwa anakatisha kwenye msitu wa mabeki wakati hakuna yellow, hakuna sub na mpira ni mzito. alikuwa ni gwiji wa kukwepa viatu.
weka clip yake uone wanavyocheza hovyo kama makidamakida na unakuta mda mwingi pele yuko mbele offside anapiga stor na kipa akipewa yeye anapga goli tu au kama ni kona ndio utacheka ufe sababu unaweza jua kuna mwiz wanampiga
 
Ila namshukuru Mungu sana mimi ni mshabiki wa Messi na Barcelona kwa ujumla tofauti na hapo roho ingekuwa inaniuma sana,, kama nilivyokuwa na wakati mgumu wa fainali ya ligi ya maningwa kati ya madrid na atletico
 
Tena na sadaka ukatoe kama ni kanisani au.msikitini maana una bahat sana
 
Kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champions League, mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berlin alisema amewaona wachezaji wote hao katika vipindi tofauti lakini bado anaamini Messi ni bora kuliko wachezaji hao wote. Kuna ukweli hapo wana jamvi?
 
Nikiwa kama mchezaji mpira niliyecheza mpira kwa kiwango cha juu naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom