Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa, kuwalinganisha sio kuwatendea haki, wote wamekuwa wazuri katika wakati wao hivyo sio rahisi kusema yupi ni bora zaidiNi vigumu kulinganisha moja kwa moja watu waliocheza era tofauti ila kwa era yake ni bora zaidi. Kwa kuwa msemaji kawashuhudia wote na katoa mtazamo wake nadhani yupo sahihi
Messi kwangu mimi ni mchezaji bora wa wakati wote ambaye nimemshuhudia kwa macho yangu mwenyewe.
Walau na mimi nimepata cha kuzungumza kwa wajukuu zangu.
pele alikuwa mashine nyingine. mechi 1360 goli 1200. unaifahamu runaround move?
kwa hesabu za haraka haraka akivunjaMessi huyo huyo ndie anayevunja rekodi za akina Pele na Zidane na Ronaldinho. Mpira ni zaidi ya mbwembwe uwanjani, ule mpira wa kucheza na jukwaa haupo tena siku hizi.
siyo kweli, jamaa hakuwa mviziaji alikiwa anakokota mpira ni balaa. alikuwa anakatisha kwenye msitu wa mabeki wakati hakuna yellow, hakuna sub na mpira ni mzito. alikuwa ni gwiji wa kukwepa viatu.za offside 900
kwa hesabu za haraka haraka akivunja
rekod ya pele ina maana hakuna mwingine zaid yake
si alivunja ile ya misimu sita mfululizo kwa magoli!?
weka clip yake uone wanavyocheza hovyo kama makidamakida na unakuta mda mwingi pele yuko mbele offside anapiga stor na kipa akipewa yeye anapga goli tu au kama ni kona ndio utacheka ufe sababu unaweza jua kuna mwiz wanampigasiyo kweli, jamaa hakuwa mviziaji alikiwa anakokota mpira ni balaa. alikuwa anakatisha kwenye msitu wa mabeki wakati hakuna yellow, hakuna sub na mpira ni mzito. alikuwa ni gwiji wa kukwepa viatu.
Tena na sadaka ukatoe kama ni kanisani au.msikitini maana una bahat sanaIla namshukuru Mungu sana mimi ni mshabiki wa Messi na Barcelona kwa ujumla tofauti na hapo roho ingekuwa inaniuma sana,, kama nilivyokuwa na wakati mgumu wa fainali ya ligi ya maningwa kati ya madrid na atletico