Hivi mh.Komba wewe kufanya hivi mpaka CCM

Hivi mh.Komba wewe kufanya hivi mpaka CCM

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,122
Reaction score
912
Hapa Tanzania ndani ya miaka 3 tumekumbwa na matatizo mbalimbali kama mafuliko huko Kirosa, mabomu Mbagara, mabomu Gongo la mboto na yote yakipoteza maisha ya Watanzania wenzetu, na pengine tumeona msiba ulotukuta Watanzania wa msanii ambaye amekuwa akituwakilisha vyema kimataifa Marehemu Steven Charles Kanumba.

Maoni yangu nikitaka tujue je?

Huyu msanii ambaye mpaka sasa ni mwanasiasa hajui kwamba huu ni wakati ambao watanzania tunamtegemea kama alivyofanya wakati wa kifo cha Mwalimu J.k Nyerere na ambavyo anaendelea kukifanyia sanaa chama nikimaanisha kukiimbia. kupitia haya naomba tufahamishane kama uwezo wake ni kuimba nyimbo za siasa.

Na mimi E.mwandishi wa Jf.
 
Tunaomba amwimbie kanumba tena amshirikishe elizabeth michael aka lulu!
 
Komba komba komba kumbe wananchi wako wanateseka huku unamjengea kimwana L*l* nyumba na gari...tena miaka 18 or 17 tu???kweli kweli huyu si ni mjukuu wako kabisa
 
Komba komba komba kumbe wananchi wako wanateseka huku unamjengea kimwana L*l* nyumba na gari...tena miaka 18 or 17 tu???kweli kweli huyu si ni mjukuu wako kabisa

presha inapanda presha inashuka. Tehe tehe tehe. Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio kalagabaho!
 
Lulu nae kaona mengi hahahaahahahahahha
lile jimwili la komba mwe!
 
Jaman lulu alikua anateseka sana,asa lile libaba na ule mtumbo wake,c ndo kumuumiza binti wa wa2!
 
Jaman lulu alikua anateseka sana,asa lile libaba na ule mtumbo wake,c ndo kumuumiza binti wa wa2!

...naskia ndo wanapendwa sababu hawakompliketi sana kwenye shughuli na ni rahisi kuwachuna.
 
Back
Top Bottom