Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Hapa Tanzania ndani ya miaka 3 tumekumbwa na matatizo mbalimbali kama mafuliko huko Kirosa, mabomu Mbagara, mabomu Gongo la mboto na yote yakipoteza maisha ya Watanzania wenzetu, na pengine tumeona msiba ulotukuta Watanzania wa msanii ambaye amekuwa akituwakilisha vyema kimataifa Marehemu Steven Charles Kanumba.
Maoni yangu nikitaka tujue je?
Huyu msanii ambaye mpaka sasa ni mwanasiasa hajui kwamba huu ni wakati ambao watanzania tunamtegemea kama alivyofanya wakati wa kifo cha Mwalimu J.k Nyerere na ambavyo anaendelea kukifanyia sanaa chama nikimaanisha kukiimbia. kupitia haya naomba tufahamishane kama uwezo wake ni kuimba nyimbo za siasa.
Na mimi E.mwandishi wa Jf.