Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,037
Wasalam mabibi na mababu,
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na taratibu za committee kukaa katika Halmashauri ili waweze kuligawanya Fungu kwa Waombaji walioomba. Baada ya hapo Watumishi waliwekewa kiasi walichopewa na kutakikana ku approve hiko kiasi kukikubali then baada ya mchakato unaofata ni wa kuprint mkataba unausaini kisha una submit kwa ku upload kwenye portal kule.
Mimi ni miongoni mwa walioomba na nilikamilisha adi taratibu za kusaini mkataba na ku upload kwenye portal na ku submit tarehe 12/4 /2025. Nakumbuka siku ileile HRO akanipigia simu mana yeye ndo Loan Representative kwenye Mfumo akinitaka ule mkataba nilosaini na ku submit kwenye mfumo Nimpelekee Hardcopy. Lakini pia stage inayosoma kwenye profile pale ni kuwa iko UnderVerification by Loan Representative.
Sasa toka tarehe 12/4 ku submit mkataba mpaka leo tarehe 26/4 takriban siku 15 lakini Bado Hela haina ata Dalili ya Kuingia, na ukizingatia kwenye mkataba wameandika kabisa kuwa makato ya mkopo huo yataanza 13/5 Nilitegemea mikopo hii ingewahi watu washughulike na dharura zilowafanya wakataka kukopa sasa leo mkopo unakaa siku 15 na bado ata manyunyu hamna. Yani hazina kuu washindwe ata na NMB ndan ya masaa 24 tu mkopo tayari!
Wale wenye uzoefu na mikopo hii ya Hazina iliwachukua muda gani kupata Pesa Toka mlipomaliza Kusubmit Mkataba wako??