instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Asante mkuuHapana labda boma
Shukrani sana kwa maelezo mazuriKama kiwanja kipo na garama za ufundi zipo nje ya iyo 25m unajenga na kuamia kabisa yaan utajenga,utapaua utaweka grili na milango,upapiga plasta ndan tu,utafunga bodi nakupiga rangi ndan tu pia chini utaweka floo ya kawaida
Fundi MAIKOInatosha sana na chenchi inabaki
Kwani lazima utuseme tunaoshangaa ghorofa la LookV?Wale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu?
NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
Boma sio Nyumba tofautisha Nyumba na Boma ni vitu viwili tofauti kuna watu wanaishi kwenye Boma na kuna watu wanaishi kwenye NyumbaShukrani sana kwa maelezo mazuri
Mjenzi huru sijui kwa kilugha cha london tunaitaje?Fundi MAIKO
Free Architecture au unaweza kusema Free Architectural, kingereza kimenyooka hiko hakiitaji kupigwa pasiMjenzi huru sijui kwa kilugha cha london tunaitaje?
Asante sana mkuuInatosha vizuri, mwenzio aliweka vyumba 4 vya kulala.
Amina MkuuHakikisha msingi ni Imara haswaa kwanza
Mm kama mwana east london (ambao kwa hiki kilugha wamenyooka) tunaita "FREE MASON"Free Architecture au unaweza kusema Free Architectural, kingereza kimenyooka hiko hakiitaji kupigwa pasi
Duh ya kimataifa hiyo nyumbaGharama za kujenga nyumba inategemra na ukubwa wa nyumba husika.
Kwa nyumba standard (vyumba 3) mara nying upana ni kat 10 m - 12 m na urefu 12 m -15 m.
Kwa hiyo 25 Miln.
Utajenga msing. Unapandisha matofali had juu kwenye lenter na kozi zile 3.
Na Utajaza kifus ndan na kuweka level.
Hela kama kubak itabak kidogo sana nadhan.
Nyumba standard finishing na kila kitu kukamilika hufikia 60-80 miln.
Samahani mkuu, umewahi kujenga? Kama ana kiwanja 25m anapaswa kufika mbali zaidi ya hapo uliposema.Gharama za kujenga nyumba inategemra na ukubwa wa nyumba husika.
Kwa nyumba standard (vyumba 3) mara nying upana ni kat 10 m - 12 m na urefu 12 m -15 m.
Kwa hiyo 25 Miln.
Utajenga msing. Unapandisha matofali had juu kwenye lenter na kozi zile 3.
Na Utajaza kifus ndan na kuweka level.
Hela kama kubak itabak kidogo sana nadhan.
Nyumba standard finishing na kila kitu kukamilika hufikia 60-80 miln.