Watanzania wachache sana wanaoweza kumudu kujenga nyumba za 60m+Gharama za kujenga nyumba inategemra na ukubwa wa nyumba husika.
Kwa nyumba standard (vyumba 3) mara nying upana ni kat 10 m - 12 m na urefu 12 m -15 m.
Kwa hiyo 25 Miln.
Utajenga msing. Unapandisha matofali had juu kwenye lenter na kozi zile 3.
Na Utajaza kifus ndan na kuweka level.
Hela kama kubak itabak kidogo sana nadhan.
Nyumba standard finishing na kila kitu kukamilika hufikia 60-80 miln.