Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Samahani mkuu, umewahi kujenga? Kama ana kiwanja 25m anapaswa kufika mbali zaidi ya hapo uliposema.
Duh ya kimataifa hiyo nyumba
Mill 25 haiwez tosha nyumba kukamilika uingie.Ukipata fundi mwaminifu, na wewe ukawa unasimia, inaweza ikatosha kabisa mkuu?
Ubarikiwe sana mkuuππΌMkuu hapo utaangalia wewe mwenyewe kama unafamilia kubwa au laa.
Mana hapo kila anachangia anachokiona af na kutokana na mazingira anayoishi
Hizo 25m zinaweza zitoshe au zisitoshe kutegemeana na mazingira.
Cha muhimu tafuta fundi mzuri tu mkae chini mdizain ramani ya nyumba kwamb hapa tufanye hv ili iwe hvi.so hapa kila mtu anatoa ushauri wake.
Kwahiyo hapo ufikire mwenyewe.
Nawasilisha.@min -me instinct desire.
Nakuja Pm unipe mawasiliano mkuuTofari 5000 za kuchoma mwenyewe, haiwezi hata kufika milioni 12 kukamilisha kila kitu hadi 'tailizi' mimi ni mkandarasi nipe tenda mkuu. Tuwasiliane pm
Inatosha. Done did.Wale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu?
NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
Kwani yeye kasema anataka hekalu?Mill 25 haiwez tosha nyumba kukamilika uingie.
Labda kawe kajumba kadogo sana.
Wazee wa kutisha watunyumba sio lelemama.
Labda kama unajenga sehem ambayo material ya mchanga kokoto yanauzwa bei rahisi.
Naomba ikiwa sawa uni forwardieJenga Inatosha
Kuna Picture Ningekuwekea Ya Millions 6
Na Mchanganuo Ningekupa
Mtandao Unasuasua Upande Wa Picture
Kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa material gani? Gharama ni function ya aina ya material unayotumia!Wale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu?
NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
πInatosha. Done did.
Tupe tofauti ya Boma na Nyumba.Boma sio Nyumba tofautisha Nyumba na Boma ni vitu viwili tofauti kuna watu wanaishi kwenye Boma na kuna watu wanaishi kwenye Nyumba
Boma humo humo Mama humo humo Mbuzi humo humo watoto humo humo kuku, hilo ni Boma, nyumba inajitegemea Sebule ya kutosha, ndani humo humo kuna living room, dining, rest room, library, store, studio, nk hio ni nyumba tena sio nyumba ya kawaida ni nyumba ya kisasa, chumba 3 choo nje sebule uchochoro hilo ni Boma sio nyumbaTupe tofauti ya Boma na Nyumba.
maana maasai kwa kiswahili chao, wao nyumba huita ni boma.
Ukisubiri kupata ushauri humu JF, unawezajikuta umeghairi kujenga, maana humu utaambiwa hiyo milioni 25 yako haitoshi hata kujenga mlango wa choo.Wale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu?
NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
Kuna budget designs ambazo naamini mleta mada anamaanisha kujenga budget house.Gharama za kujenga nyumba inategemra na ukubwa wa nyumba husika.
Kwa nyumba standard (vyumba 3) mara nying upana ni kat 10 m - 12 m na urefu 12 m -15 m.
Kwa hiyo 25 Miln.
Utajenga msing. Unapandisha matofali had juu kwenye lenter na kozi zile 3.
Na Utajaza kifus ndan na kuweka level.
Hela kama kubak itabak kidogo sana nadhan.
Nyumba standard finishing na kila kitu kukamilika hufikia 60-80 miln.