Watanzania wachache sana wanaoweza kumudu kujenga nyumba za 60m+Gharama za kujenga nyumba inategemra na ukubwa wa nyumba husika.
Kwa nyumba standard (vyumba 3) mara nying upana ni kat 10 m - 12 m na urefu 12 m -15 m.
Kwa hiyo 25 Miln.
Utajenga msing. Unapandisha matofali had juu kwenye lenter na kozi zile 3.
Na Utajaza kifus ndan na kuweka level.
Hela kama kubak itabak kidogo sana nadhan.
Nyumba standard finishing na kila kitu kukamilika hufikia 60-80 miln.
Mimi nilifikiri kiujenzi boma ni jengo lilojengwa mpaka hatua ya paa bila kufanyiwa finishing kama plaster na vitu vingine ndani.Boma humo humo Mama humo humo Mbuzi humo humo watoto humo humo kuku, hilo ni Boma, nyumba inajitegemea Sebule ya kutosha, ndani humo humo kuna living room, dining, rest room, library, store, studio, nk hio ni nyumba tena sio nyumba ya kawaida ni nyumba ya kisasa, chumba 3 choo nje sebule uchochoro hilo ni Boma sio nyumba
Material ya bei za kawaidaKujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa material gani? Gharama ni function ya aina ya material unayotumia!
Asante sana kwa maoni yenye tija🙏🏼Ukisubiri kupata ushauri humu JF, unawezajikuta umeghairi kujenga, maana humu utaambiwa hiyo milioni 25 yako haitoshi hata kujenga mlango wa choo.
Humu JF, karibia wote tunamiliki majumba ya milioni 100, na mabilioni.
👇🏽
Wewe kama unaanza ujenzi, wewe anza tu (tafuta a proven fundi kupitia watu unafahamiana nao mtaani kwako) kisha wewe na fundi muanze tathmini kwenye vitu na gharama, kuanzia:-
- Ramani (ukubwa na mpangilio wa nyumba)
- Tofali (mtafanya tathmini ya tofali ngapi.)
- Bati ngapi (itategemea na aina ya upauaji)
- mchanga (fundi mzoefu atakwambia mpaka kiasi cha mchanga)
- saruji
- nondo
- kokoto
- mbao
- chokaa (wall putty Gypsum Powder kwa ajili ya skimming)
- madirisha
- gharama za ufundi
- n.k
Mkimaliza tathmini, then mtaanza kucheki ni wapi mnaweza kubana cost ili mbakie kwenye bajeti yenu pasipo ku-compromise project.
👇🏽
@ Fundi mahiri wa Ujenzi | @ Ujenzi nafuu 01 | @ Fundi manyumba | @ aise | @ nyanda madirisha | @ Jamiix
👇🏽
Pia pitia huu uzi
Naombeni mchanganuo wa gharama na idadi ya materials ya kujenga fensi ya ukuta 20m x 20m
Ungeweka angalau idea ya ramani watu wangepata mwanga wa nyumba unayo imaanishaWale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu?
NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
as long as kiwanja kipo.25m inatosha kujenga vyumba viwili,sebule, toilet,store sio zaidi ya hapo
Nazungumzia aina ya material. Kwa mfano, kuna watu wanajenga kwa kutumia tofali za kuchoma!M
Material ya bei za kawaida
Ok mm natumia blockNazungumzia aina ya material. Kwa mfano, kuna watu wanajenga kwa kutumia tofali za kuchoma!
Hujawahi kujenga wewe upo kwenye upangajiMill 25 haiwez tosha nyumba kukamilika uingie.
Labda kawe kajumba kadogo sana.
Huna nyumba wewe ni mlevi tu hujui unachokiongeanina nyumba.
Inategemea na ukubwa wa nyumba. Kama anajenga nyumba vyumba vidogo kama Gest sawa. Nayo itaishia kwenye bati.
Wewe umejenga, mtu ambae amewahi kujenga au fundi, kwa vyumba vitatu, 25m inampeleka mbali saana.Kuna budget designs ambazo naamini mleta mada anamaanisha kujenga budget house.
Kwa budget designs(hapa nasemea kwa ujumla hasa Dar), milioni 15-20 umamaliza hadi kuezeka. Finishing itategemea unataka kuweka nini, madirisha aina gani, milango aina gani nk.
Mmmh, verbose umesema boma ni nini?Boma humo humo Mama humo humo Mbuzi humo humo watoto humo humo kuku, hilo ni Boma, nyumba inajitegemea Sebule ya kutosha, ndani humo humo kuna living room, dining, rest room, library, store, studio, nk hio ni nyumba tena sio nyumba ya kawaida ni nyumba ya kisasa, chumba 3 choo nje sebule uchochoro hilo ni Boma sio nyumba
Hata ghorofa unajenga, inategemea na mafundi wakoWale wenye ujuzi/ushuhuda kwenye ujenzi kwa Dodoma naomba mniambie Je! Mil 25 inatosha kumaliza nyumba ya vyumba vitatu?
NB: wale wa kuendelea kushangaa magorofa ya watu endeleeni ss wenzenu ndo tumeanza hivyo.
Km nilivyoelezea mkuu au wewe ulikua una maana tofauti na hio?Mmmh, verbose umesema boma ni nini?
Fundi MAIKO unataka kupiga tukio kuna mwenzio huku kafanya kituko cha mwaka yaan kajenga nyumba halafu kuna upande kaweka dirisha juu kabisa na nyumba sio ya ghorofa yaan kule juu karibu na bati jamaa kachalaza kioo hapoHata ghorofa unajenga
free builderMjenzi huru sijui kwa kilugha cha london tunaitaje?
Ubarikiwe sana mkuuInatosha kabisa. Na kama itapungua basi kidogo sana! Njoo uchague ramani Bure ya 3bedroom simple Sana
Njoo kwenye group letu tunaendelea kutoa Elimu ya Ujenzi Kwa vitendo.....
Link ya group
Wasiliana nasi Kwa namba 0789005562 au njoo Whatsapp Kwa link hii
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.me