Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 421
- 778
Crown athlete nyingi zina milage kubwa Sana sielewi TATIZO ni Hilo uliyosema au?Magari mengi ya hivyo yalikuwa shuttle au taxi au rental
Asante mkuu kwa elimu kumbe nilikuwa naogopa bureMilage 200000 sio ishu Sana hasa kama imetumika huko Kwa wenzetu,
Nakushauri kama unataka kulitumia Kwa miaka kadhaa alafu ukiliuza itakuwa poa zaidi lakini kama utakaa nalo zaidi ya miaka 4 utashindwa kuliuza.
Haina shida kama unataka kununua ila cha msingi jitahidi kulifanyia service ili life span yake iende mbali
Bora hiyo,uichukue then utafute/uagize dashboard yenye kusoma milage chache ya gari hiyo uibadili,ndio utauza vizuri.
Hata wenye wanabadilisha dashboard
Ingine huwa zina life span yaani umri wa kuishi. Kwa magari yenye cc chini ya 1450, uhai wa ingine ni km 150,000. Kwa cc kubwa kuliko 1450 lakini chini ya cc 2000 uhai wa ingine ni km 200,000. Kwa ingine zenye cc zaidi ya 2000 uhai wake ni km 300,000. Je hilo gari unalotaka kununua lina cc ngapi? Kama lina cc zaidi ya 2000 basi lina maisha mpaka km 300,000.
Halafu sasa cha ajabu Crown Athlete nyingi zinazouzwa bongo milage zake hua zinarange kati ya 40,000 - 90,000 KM ika ukizicheki huko Japan i.e Beforward, SBT Japan, Trade CarView etc zinacheza milage kuanzia 90,000 - 180,000KM sasa sijui hizi za bongo wanakua wamezitolea wapi tena hizo za bongo ni Registration mpya mpya tuuCrown athlete nyingi zina milage kubwa Sana sielewi TATIZO ni Hilo uliyosema au?
Maana haya Magari Kwenye milage bana ni shida
Matangazo mengi ya hapa bongo utaona milage ndogo Sana sielewi hawa wauzaji kuna janja wanatumia au la...Halafu sasa cha ajabu Crown Athlete nyingi zinazouzwa bongo milage zake hua zinarange kati ya 40,000 - 90,000 KM ika ukizicheki huko Japan i.e Beforward, SBT Japan, Trade CarView etc zinacheza milage kuanzia 90,000 - 180,000KM sasa sijui hizi za bongo wanakua wamezitolea wapi tena hizo za bongo ni Registration mpya mpya tuu
Magari ya sbt japan mengi yana millages kubwa , ingia be forward
Binafsi gari la mileage chache let's 7000km na limetengenezwa miaka 15 iliyopita huwa naliogopa mnoo;because gari lina possibility kubwa ya either kilikuwa tampered au other issues ambazo mimi na wewe tunaweza tusizifanamu!but inategemea,Now days Japan has changed that's why hizi inspection companies zipo na gharama ya hao jamaa inaweza fika mpaka laki 5Ishu ya mileage ni shida;n makampuni machache ambayo unaweza late mileage ambazo hazijabadilishwa na ndiyo maana unaponunua Japan if you wish una contract makampuni ya inspection ya odometer pamoja na ku verify kama picha alizotumiwa mteja zinaendana na uhalisia wa gari lenyewe;therefore it's all about your pocket!
Siyo kweli. Kwa mfano, Volvo wana high mileage club kabisa. Gari zinaenda hadi 500k mileages. https://www.volvoclub.org.uk/hmc/Ingine huwa zina life span yaani umri wa kuishi. Kwa magari yenye cc chini ya 1450, uhai wa ingine ni km 150,000. Kwa cc kubwa kuliko 1450 lakini chini ya cc 2000 uhai wa ingine ni km 200,000. Kwa ingine zenye cc zaidi ya 2000 uhai wake ni km 300,000. Je hilo gari unalotaka kununua lina cc ngapi? Kama lina cc zaidi ya 2000 basi lina maisha mpaka km 300,000.