Hivi Millage ina matter?

Hivi Millage ina matter?

Mikhail Tal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
421
Reaction score
778
Kuna hii gar nimeipenda ila sasa millage inaniogopesa maana ipo kwenye km 200,000

But ka gar ukikaangalia ni kazuri kweli halafu ni latest cha 2009. Nimepiga pia tra inaweza kuwa kama 7 million. Embu nishaurini hapo wakuu.

Ama nitafute hata cha millage ya laki moja? Maana nimechunguza kwa gar nnayotaka ni ngumu kupata ya millage below 100,000 kwa bei nnayotaka mimi.

1107241
1107242
 
Milage 200000 sio ishu Sana hasa kama imetumika huko Kwa wenzetu,
Nakushauri kama unataka kulitumia Kwa miaka kadhaa alafu ukiliuza itakuwa poa zaidi lakini kama utakaa nalo zaidi ya miaka 4 utashindwa kuliuza.

Haina shida kama unataka kununua ila cha msingi jitahidi kulifanyia service ili life span yake iende mbali
 
Magari mengi ya hivyo yalikuwa shuttle au taxi au rental
Crown athlete nyingi zina milage kubwa Sana sielewi TATIZO ni Hilo uliyosema au?
Maana haya Magari Kwenye milage bana ni shida
 
Asan
Milage 200000 sio ishu Sana hasa kama imetumika huko Kwa wenzetu,
Nakushauri kama unataka kulitumia Kwa miaka kadhaa alafu ukiliuza itakuwa poa zaidi lakini kama utakaa nalo zaidi ya miaka 4 utashindwa kuliuza.

Haina shida kama unataka kununua ila cha msingi jitahidi kulifanyia service ili life span yake iende mbali
Asante mkuu kwa elimu kumbe nilikuwa naogopa bure
 
Nimekuwa nikifatilia kidogo hizi gari zenye millage kubwa na kidogo nikagundua gari yenye millage nyingi % kubwa uwa imara sana kuliko zenye millage chache ila % kubwa ya sisi watanzania tuna penda gari uitakayo kununua iwe na millage chache na wajanja wa mjini wame ligundua ilo ndio maana millage wanazilidisha nyuma kwaiyo kwa ushauri wangu iyo SWIFT itakuwa safi sana na namshauri haichukua
 
Si mtaalam wa magari ila nimefuatilia nimeona kiwa kubadilisha dashboard haiwezikani,kwasababu dashboard ina husiana na mizunguko ya engine,so ukibadilsha dashboard lazima gari itapata complication nyingi
Bora hiyo,uichukue then utafute/uagize dashboard yenye kusoma milage chache ya gari hiyo uibadili,ndio utauza vizuri.
Hata wenye wanabadilisha dashboard
 
Ingine huwa zina life span yaani umri wa kuishi. Kwa magari yenye cc chini ya 1450, uhai wa ingine ni km 150,000. Kwa cc kubwa kuliko 1450 lakini chini ya cc 2000 uhai wa ingine ni km 200,000. Kwa ingine zenye cc zaidi ya 2000 uhai wake ni km 300,000. Je hilo gari unalotaka kununua lina cc ngapi? Kama lina cc zaidi ya 2000 basi lina maisha mpaka km 300,000.
 
We mbona wanadai kwamba mileage ya gari inawezekana kufika milioni ila utunzaji ndio inatakiwa?
 
Crown athlete nyingi zina milage kubwa Sana sielewi TATIZO ni Hilo uliyosema au?
Maana haya Magari Kwenye milage bana ni shida
Halafu sasa cha ajabu Crown Athlete nyingi zinazouzwa bongo milage zake hua zinarange kati ya 40,000 - 90,000 KM ika ukizicheki huko Japan i.e Beforward, SBT Japan, Trade CarView etc zinacheza milage kuanzia 90,000 - 180,000KM sasa sijui hizi za bongo wanakua wamezitolea wapi tena hizo za bongo ni Registration mpya mpya tuu
 
Matangazo mengi ya hapa bongo utaona milage ndogo Sana sielewi hawa wauzaji kuna janja wanatumia au la...

Ni Bora uagize gari potelea-mbali kuliko kununua Kwa wajanja wa mjini
 
Ishu ya mileage ni shida;n makampuni machache ambayo unaweza late mileage ambazo hazijabadilishwa na ndiyo maana unaponunua Japan if you wish una contract makampuni ya inspection ya odometer pamoja na ku verify kama picha alizotumiwa mteja zinaendana na uhalisia wa gari lenyewe;therefore it's all about your pocket!
Magari ya sbt japan mengi yana millages kubwa , ingia be forward
 
Ishu ya mileage ni shida;n makampuni machache ambayo unaweza late mileage ambazo hazijabadilishwa na ndiyo maana unaponunua Japan if you wish una contract makampuni ya inspection ya odometer pamoja na ku verify kama picha alizotumiwa mteja zinaendana na uhalisia wa gari lenyewe;therefore it's all about your pocket!
Binafsi gari la mileage chache let's 7000km na limetengenezwa miaka 15 iliyopita huwa naliogopa mnoo;because gari lina possibility kubwa ya either kilikuwa tampered au other issues ambazo mimi na wewe tunaweza tusizifanamu!but inategemea,Now days Japan has changed that's why hizi inspection companies zipo na gharama ya hao jamaa inaweza fika mpaka laki 5
 
Mkuu Gari yenye Millage kubwa ujue iko vzr haishindi Garrage... engine nzima...
waTZweng wanaangalia Millage mala namba gan ouooooooo ni kupotea huko.

mm nna ist ilikua na Millage 230000 nnachofanya kila siku ni kuwasha na kuondoka gar haisumbui
 
Ingine huwa zina life span yaani umri wa kuishi. Kwa magari yenye cc chini ya 1450, uhai wa ingine ni km 150,000. Kwa cc kubwa kuliko 1450 lakini chini ya cc 2000 uhai wa ingine ni km 200,000. Kwa ingine zenye cc zaidi ya 2000 uhai wake ni km 300,000. Je hilo gari unalotaka kununua lina cc ngapi? Kama lina cc zaidi ya 2000 basi lina maisha mpaka km 300,000.
Siyo kweli. Kwa mfano, Volvo wana high mileage club kabisa. Gari zinaenda hadi 500k mileages. https://www.volvoclub.org.uk/hmc/
 
Back
Top Bottom