Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan! Ukidokeza mkuu Kuna shida gani?kama kazi zilitangazwa ukaomba basi subiri uitwe Interview ufanye,ukifanikiwa kuitwa kazini Mshahara utaujua ukienda kuripoti!!!sioni kama kuna ulazima wa kujua Mishahara sasa hivi ndugu!!!zaidi ya hapo nilifanya kazi pale siku za nyuma enzi za Mkurugenzi Mkuu Mzee Kilagane,nafahamiana na wahusika wengi wa pale na mishahara ni mizuri sana ikiwemo nafasi ya kupelekwa masomoni nje ya Nchi kusoma Masters au PhD,pambana kwanza upate nafasi, mishahara utaifahamu ukiajiriwa
Bhac! Ni heri nisingeombaLaki 3
Anamshinda Bachelor kabisa kwa kada zingine..Pale mzee technician hapungui 1.7M
Ndio mkuuAnamshinda Bachelor kabisa kwa kada zingine..
Ukipata kazi pale ndio bhas tena, unakula per diem tuIla sometimes inabidi mawazo yetu hasi na njaa tuweke pembeni licha ya ushindani mkubwa uliopo pale
Sasa bacheor wa wizarani au halmshauri kwa nyongeza ya mishahara ya hivi juzi anavuta 1M tena Engineer huyo kabla ya makatoNdio mkuu
Hao jamaa wapo vizuri aisee, Tena kipind hiki wanajipangia tuu mishaharaDuh Kumbe wapo vizuri kwenye kulipa, inawezekana kumbe ikawa kwenye mashirika 5 ya serekali yanayolipa vizuri
Hao jamaa wapo vizuri aisee, Tena kipind hiki wanajipangia tuu mishahara
Walikuwa wanahitaji waliosoma vitu gani..?Mie mwenyewe nliomba TPDC pale ndio tunasubiri interview