Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Mmmh.. huu ni uongo uliokubuhuPale mzee technician hapungui 1.7M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh.. huu ni uongo uliokubuhuPale mzee technician hapungui 1.7M
Ukweli ni upi mkuu ?Mmmh.. huu ni uongo uliokubuhu
Sijui exactly salary, Ila hiyo salary hapanaUkweli ni upi mkuu ?
Sasa umeona wabongo tulivyo, unanipinga alafu ww mwenyewe hujuiSijui exactly salary, Ila hiyo salary hapana
TPDC- Tanzania Petroleum Development CorporationKwani TPDC ndo wapi huko?
Ndio mkuuDuh Kumbe wapo vizuri kwenye kulipa, inawezekana kumbe ikawa kwenye mashirika 5 ya serekali yanayolipa vizuri
Sasa umeona wabongo tulivyo, unanipinga alafu ww mwenyewe hujui
Aaaah maana mashirika meng makubwa basic salary for technician inaanzia milion moja na kama elfu kumi hiviSio kweli, uliamua kuchangamsha jukwaa! Technician haizidi 800,000/= na Ofisa II anayeanza haizidi 1,600,000/=
Uko sawa humu humu.. wanalipwa pazuri wale na posho za kusogezea maishaSio kweli, uliamua kuchangamsha jukwaa! Technician haizidi 800,000/= na Ofisa II anayeanza haizidi 1,600,000/=
Hizi ni basic au net ?Sio kweli, uliamua kuchangamsha jukwaa! Technician haizidi 800,000/= na Ofisa II anayeanza haizidi 1,600,000/=
Mie mwenyewe nliomba TPDC pale ndio tunasubiri
habari kk, vipi uliattend interview ya tpdc..?Mie mwenyewe nliomba TPDC pale ndio tunasubiri interview
Ndio kakahabari kk, vipi uliattend interview ya tpdc..?
Hivi ulileta mrejesho kuwa ulikosa nafasi? kumbukumbu zinataka kunitoka hapaNdio kaka
Hii bado hawajatoa placement, ndio tunasubiriaHivi ulileta mrejesho kuwa ulikosa nafasi? kumbukumbu zinataka kunitoka hapa
Sawa, kila la kheri kakaHii bado hawajatoa placement, ndio tunasubiria
Kama ulifika Oral basi mambo mazuriHii bado hawajatoa placement, ndio tunasubiria
AmeenSawa, kila la kheri kaka
Yah nashkuru nlifika oral,,, ndio tunasubiria, natumai mambo yatakuwa mazuri safari hii.Kama ulifika Oral basi mambo mazuri
Ahaa sawa mkuu, Kuwa na subira Mungu ni mwema muda woteHii bado hawajatoa placement, ndio tunasubiria