Hivi mishahara ya mtu wa diploma pale TPDC ikoje..?

kama kazi zilitangazwa ukaomba basi subiri uitwe Interview ufanye,ukifanikiwa kuitwa kazini Mshahara utaujua ukienda kuripoti!!!sioni kama kuna ulazima wa kujua Mishahara sasa hivi ndugu!!!zaidi ya hapo nilifanya kazi pale siku za nyuma enzi za Mkurugenzi Mkuu Mzee Kilagane,nafahamiana na wahusika wengi wa pale na mishahara ni mizuri sana ikiwemo nafasi ya kupelekwa masomoni nje ya Nchi kusoma Masters au PhD,pambana kwanza upate nafasi, mishahara utaifahamu ukiajiriwa
 
Kwan! Ukidokeza mkuu Kuna shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…