Hivi mitihani ya Wizara ya Online tunafanyia kila mtu nyumbani kwake au Tunaenda kwene hizo venue walizopanga? Na kama online si online

Hivi mitihani ya Wizara ya Online tunafanyia kila mtu nyumbani kwake au Tunaenda kwene hizo venue walizopanga? Na kama online si online

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu hebu nisaidie hizi kazi za Afya zilizotoka saizi za online interview
 
Kama umeshindwa kuelewa maelezo ya tangazo la kazi basi imefeli.

Umefeli kwa sababu gani? sababu hujaelewa, kuelewa jambo inakupelekea kulifanya kwa usahihi wa asilimia kubwa.

Kama kweli upo serious, kasome tena tangazo nukta kwa nukta utaelewa
 
Nipo nasoma sijaelewa
 
Duh kwa hili swali, aisee kazi ipo tena kubwa sana.
Wagonjwa kazi wanayo 😂

Siku ya usaili ikifika, ww kaa geto na simu yako utakuta link ya kufanya mtihani kupitia akaunti yako.
 
Maelezo ya mgonjwa utayaelewa kweli?
Unafanyia kituoni, beba vyeti vyako na kitambulisho kama ilivyoelezwa kwenye tangazo
Kweli tutafute pesa si kila hospital ni ya kuenda.
Hii kada imevamiwa Sasa unaweza ukachomwa hata sindano ya sumu au ukazidishiwa dozi .
Hataweza kweli huyu kusoma na kuelewa madhalani maelezo ya dawa Fulani itumikaje Kwa mgonjwa
 
Back
Top Bottom