Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Nipo nasoma sijaelewaKama umeshindwa kuelewa maelezo ya tangazo la kazi basi imefeli.
Umefeli kwa sababu gani? sababu hujaelewa, kuelewa jambo inakupelekea kulifanya kwa usahihi wa asilimia kubwa.
Kama kweli upo serious, kasome tena tangazo nukta kwa nukta utaelewa
Mbona unanikatisha tamaaKama umeshindwa kuelewa maelezo ya tangazo la kazi basi imefeli...
Ukweli ambao ni mchunguKama umeshindwa kuelewa maelezo ya tangazo la kazi basi imefeli...
Kweli tutafute pesa si kila hospital ni ya kuenda.Maelezo ya mgonjwa utayaelewa kweli?
Unafanyia kituoni, beba vyeti vyako na kitambulisho kama ilivyoelezwa kwenye tangazo