Broo km umesoma link ya hapo juu. yule jamaa anayesema kwamba wanatengenezwa kuna sehemu anasema kwamba genes za entrepreneurship pia zinahusika. ni kweli externak forces km opportunities na mazingira vinaongeza strongness kwenye entrepreneurship ila you must be having the characteristics of entrepreneur. jaribu kuzigoogle zitakusaidia. genes are transferable mfano inawezekana babu mzaa babu yako alikuwa nazo then waliofata wote hawakuzipata ukajikuta ww unazipata. ww ukishaona una sifa za mjasiliamali then you were born with them. ila vinginevyo unaweza kufundishwa na kuwa vizuri theoretically ila practically huwezi. ndio maana wengine wanakuwa walimu kuwafundisha wajasiliamali jiulize kwa nn wao wasiwe wajasiliamali.