Hivi mjasiriamali anazaliwa, anatengenezwa?

unajua kwenye kuwaza na kusema hatuna ''r'' hivyo tunapobadilisha mawazo kuwa maandishi nayo automatically yanakosa ''r''.

Tutakupa darsa mpaka huko kuwaza kutakaa sawa, Kiswahili ni lugha yako ya Taifa kijivunie kwa kuandika sawa.

"asiyefundwa na mama'e, hufundwa na ulimwengu"
 
unakubaliana nami kwamba tabia za watu hubadilika? mtu anaweza kujifunza kuwa risk taker na mvumilivu (mfano jeshini)?.
 
Kwa jibu rahisi, mjasiriamali anatengenezwa na mazingira.

Tiba.
 
Haya yalisha zungumzwa sana humu, tafuta uzi mmoja ulikuwa na majdala mkali sana kuhusu Born and made.
 
Haya yalisha zungumzwa sana humu, tafuta uzi mmoja ulikuwa na majdala mkali sana kuhusu Born and made.

Mkuu kama unaeza iweke hapa hyo thread maana hata mimi nmekua interested kujua kama mcheza mpira anazaliwa na kipaji au anatengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…