Hivi mkeo anapokuambia usimwagie ndani anakua na maana gani haswa?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa.
Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani.
Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..?
Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu.
Eti wakuu ina maana gani hiyo?
 
Maandamano yasiyo na kikomo mpaka nchi ikombolewe.

Tusitolewe kwenye reli wadau.
 
Maana yake HAKUWA tayari kubeba ujauzito , na muda huo alikuwa kwenye siku zake.. kama ukimwagia ndani ......punde si punde anapata ujauzito , then ndo hivyo

Sometimes ni vyema kuelewa , pindi unapoambiwa na mkeo maana na wenyewe ni binadamu wanajua unahitaji nini , so anakutimizia hitaji lako la ndoa .
 
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa.
Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani.
Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..?
Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu.
Eti wakuu ina maana gani hiyo?
Anamaanisha umwage nje. Kwani ni kipi hakieleweki hapo??? Hii tabia ya kuuliza kila kitu inakera sana. Wanasema kuuliza sio ujinga, lakini huu ni upumbavu sasa.
 
Mim nilkuwa na huu utaratibu ila mke akawa hapendi

Siku moja akaamua kuning'ang'ania na kitu kikanasa kweli na sasa kina mwaka mmoja kibaby girl,kuzuia uumbaji ni kitu kigumu sana,kuna binadamu ni wabishi wakiamua kuja duniani hakuna wa kuwazuia
 
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa.
Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani.
Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..?
Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu.
Eti wakuu ina maana gani hiyo?
Na usituletee hizo mambo za kuna jamaa ako. Tunajua hili jambo limekukuta wewe, na kunakoelekea atakua anakwambia USICHOMEKE KABISA,
 
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa.
Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani.
Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..?
Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu.
Eti wakuu ina maana gani hiyo?
Kwani ukisema ni wewe ndio mkeo kakujibu hivyo utakufa?
 
Jamaa aliuziwa mbuzi kwenye gunia asububiri kufa tu au atafute jiko la mkaa maana la ges linaonekana kumshinda.
 
Back
Top Bottom