Hivi mkeo anapokuambia usimwagie ndani anakua na maana gani haswa?

kwahiyo huyo rafiki yako,
alikueleza mwishowe ilikuaje,

alimwagia ndani au nje?
 

Ni kwamba yupo tarehe hatarishi na hataki kubeba mimba kwa wakati huo
Inawezekana ana mtoto mdogo na hatumii njia ya uzazi wa mpango hivyo kumwagia nje ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango (kwa wanandoa)
 
Mwambie asubiri kwanza hadi tuikomboe Tanganyika yetu halali na siyo ya makaratasi ndiyo amwagie ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…