Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

g vizy

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
922
Reaction score
1,028
Habari wakuu.

Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa.

Hebu tupe mtazamo kwa huyo wa kwako.
 
hizi mada kama zimezikuwa TOO MUCH.
inafanya nazidi kuona mke kama ni kitu kitanipotezea sana na hakina faida kabisa..
binadam tumetoufatiana..
wengine tupo SHORT TEMPER unaweza kutoa roho mda wowote!
 
Asprin na Ushimen hebu njooni huku mchangie mchango wenu kwenye hii mada. Mchango wenu ni muhimu sana kwa maslahi mapana kwa vijana wa taifa la kesho.

Natanguliza shukrani za dhati kabla hamjafika.[emoji3][emoji23][emoji16]
Umeniita nikaja mbio nikidhani kuna mgao wa K Vant....

Kwani hapa nini kimejiri?
 
Habari wakuu

Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi uwa anaikubali hyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa

Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako
Oh pole sana...

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na hawara...

Kwa kawaida kabisa, mwanaume hupata furaha ya ndoa kama alimuoa mchumba wake... Tatizo linakuja pale mwanaume anapomuoa kahaba.

Badala ya kuwa na mke unakuwa na hawara...

Mke mwema hutoka kwa MUNGU....
 
Back
Top Bottom