cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hapo cha-cha woyooooooooooh.Namuongezea mahaba ili apate nguvu,hari na kasi mpya ya kupambana...maana najua akipata nusu na robo yote yangu jomoniii [emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo cha-cha woyooooooooooh.Namuongezea mahaba ili apate nguvu,hari na kasi mpya ya kupambana...maana najua akipata nusu na robo yote yangu jomoniii [emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ananinyima unyumba.
Ameeeeeeeeen.Mume mtamu jamani.
Akiwa na stress mliwaze na msaidie majukumu yake pale unapoweza.
Mpe hope kwamba mambo yatakaa Sawa tu.
Believe in him, pray for him.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mama jayaron anakupa stress ukiwa hauna mishe?
Hivi wee babuuh una nini lakini? Nimecheka hadi mbavu zinauma khaaaah.Umeniita nikaja mbio nikidhani kuna mgao wa K Vant....
Kwani hapa nini kimejiri?
Wapi pongezi kwa bibi angu, ame deserve this.Oh pole sana...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na hawara...
Kwa kawaida kabisa, mwanaume hupata furaha ya ndoa kama alimuoa mchumba wake... Tatizo linakuja pale mwanaume anapomuoa kahaba.
Badala ya kuwa na mke unakuwa na hawara...
Mke mwema hutoka kwa MUNGU....
Tatizo unacheka afu hutaki kunizawadia...Hivi wee babuuh una nini lakini? Nimecheka hadi mbavu zinauma khaaaah.
Just deal na the type of people unazokua nazo in relationships ili uache kusema wanawake wote ni mashetani,shetani ana date na shetani mwenzake 😂Maneno ya jukwaani tuu hayo..😏😏hamna mashetani ka ninyi
Ukiona hivyo na wanaume walianguka na air force one,ni droo hapo😂😂Karne hii hawapo labda walikufa maji maji war
Wanaume tutazidi kupungua sanaMimi (saa nne usiku): Aisee hali yangu ni mbaya leo hapa nilipo sina hata 100!
Wife (saa 1 asubuhi): Ukitoka hebu niachie ile 50,000 nimalizie mchango wa ile harusi ya mtoto wa binamu aisee siku zimeisha..
Mimi:
Kwenye kujua kama huyu ni kahaba ndo kwenye mtihani mzitoOh pole sana...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na hawara...
Kwa kawaida kabisa, mwanaume hupata furaha ya ndoa kama alimuoa mchumba wake... Tatizo linakuja pale mwanaume anapomuoa kahaba.
Badala ya kuwa na mke unakuwa na hawara...
Mke mwema hutoka kwa MUNGU....
Kwenye kujua kama huyu ni kahaba ndo kwenye mtihani mzitoOh pole sana...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na hawara...
Kwa kawaida kabisa, mwanaume hupata furaha ya ndoa kama alimuoa mchumba wake... Tatizo linakuja pale mwanaume anapomuoa kahaba.
Badala ya kuwa na mke unakuwa na hawara...
Mke mwema hutoka kwa MUNGU....
Kama ng’ombe tu 😅😅😅 sina jinsiHabari wakuu
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi uwa anaikubali hyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa
Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako
[emoji23][emoji23][emoji23] babuuuh wee huogopi kufia kifuani?Tatizo unacheka afu hutaki kunizawadia...
Kitu umepewa bure na Mungu, kwanini unakuwa mchoyo kukitumia na aliyeumbwa na Mungu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba chanja akiwa hana hela huaga anatia huruma sana hahaha hata nguvu ya kumnyasa nyasa unakosa lol hapo ni mipango na ahadi kibao ngoja azishike sasa nyumba inakua ya moto kunyanyua mabega mtindo mmoja.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mbona easy tuu...sii ukikuta sio bikra tayari huyo kahabaKwenye kujua kama huyu ni kahaba ndo kwenye mtihani mzito
Kwani na wewe umeolewa?Hapo cha-cha woyooooooooooh.