Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Oh pole sana...

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na hawara...

Kwa kawaida kabisa, mwanaume hupata furaha ya ndoa kama alimuoa mchumba wake... Tatizo linakuja pale mwanaume anapomuoa kahaba.

Badala ya kuwa na mke unakuwa na hawara...

Mke mwema hutoka kwa MUNGU....
Wapi pongezi kwa bibi angu, ame deserve this.
Sky Eclat bibi njoo usome hapa. Huhuhuh
 
Mimi (saa nne usiku): Aisee hali yangu ni mbaya leo hapa nilipo sina hata 100!
Wife (saa 1 asubuhi): Ukitoka hebu niachie ile 50,000 nimalizie mchango wa ile harusi ya mtoto wa binamu aisee siku zimeisha..
Mimi:
 
Wanaume tutazidi kupungua sana
 
Oh pole sana...

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na hawara...

Kwa kawaida kabisa, mwanaume hupata furaha ya ndoa kama alimuoa mchumba wake... Tatizo linakuja pale mwanaume anapomuoa kahaba.

Badala ya kuwa na mke unakuwa na hawara...

Mke mwema hutoka kwa MUNGU....
Kwenye kujua kama huyu ni kahaba ndo kwenye mtihani mzito
 
Habari wakuu

Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi uwa anaikubali hyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa

Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako
Kama ng’ombe tu 😅😅😅 sina jinsi
 
Tatizo unacheka afu hutaki kunizawadia...

Kitu umepewa bure na Mungu, kwanini unakuwa mchoyo kukitumia na aliyeumbwa na Mungu ?
[emoji23][emoji23][emoji23] babuuuh wee huogopi kufia kifuani?
 
Baba chanja akiwa hana hela huaga anatia huruma sana hahaha hata nguvu ya kumnyasa nyasa unakosa lol hapo ni mipango na ahadi kibao ngoja azishike sasa nyumba inakua ya moto kunyanyua mabega mtindo mmoja.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom