Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

kabisa kuna wake wanabeba waume zao ndani na kuwastiri mno
hii pia utegemeana na jinsi anavyomtreat mkewe anapokuwa na pesa
Haswaaaa....uvumilivu wa mke kwa mumewe inategemea na treatment kutoka kwa mumewe....sometimes mwanamke anaonekana shetani akibehave kama mume wake alivokuwa kwake......na ujue mapungufu ya mwanamke ktk jamii yanaonekana sana kuliko ya mwanaume
 
Niligundua wanawake wengi sana (siyo wote) sasa ni makahaba(prostitutes) kibarua kiliota nyasi nilinuniwa na unyumba kunyimwa,halafu mambo yaliporudi sawa bila aibu anajichekelesha na kurudisha mahaba. Kwa sasa nanunua tu makahaba wasiojipanga barabarani maana sasa wanawake wenye mapenzi ya kweli wamekuwa hatarini kutoweka (extinction) mapenzi yamekuwa biashara holela.
Hii ndio point yenyewe. Hamna mapenzi ni watu kuendekeza umalaya tuu. Wacha twende nao vile wanavyotaka
 
Tabia yako ukiwa na hela ndio itakayoamua utritiwe vipi ukiwa hauna....

Sasa mfano, wewe faza hausi ukiwa na hela nyumbani haurudi, ukirudi ni usiku wa manane, unaanza kujifanya teenager kwenda night club, yani wewe ndio wewe zikiisha unataka uonewe huruma, uko serious?
 
Kwa kweli kila jambo na mrejesho wake
Unakuta wakat zipo alitekeleza familia leo kaishiwa anataka aonewe huruma
 
Habari wakuu.

Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa.

Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba anataka kusepa kisa Pesa umetetereka.

Hauna Mke.. Ulioa barmaid
 
Kwa kweli kila jambo na mrejesho wake
Unakuta wakat zipo alitekeleza familia leo kaishiwa anataka aonewe huruma
Ndio, sio tu kukimbilia kulaumu watu baada ya kuishiwa, wakati ulivokuwa nazo hukuwajua hao watu....
 
Mme wangu namjua akiwa hana hela anakuwa na stress mpaka nshwambia wewe ukija kukosa hela kabisa si utakufa humu ndani?lakini mimi sijawahi kaa kizembe hata siku moja nikiona mambo hayaeleweki najiongeza
Hapo kwenye kujiongeza ndo balaa linaanzaga
 
Tabia yako ukiwa na hela ndio itakayoamua utritiwe vipi ukiwa hauna....

Sasa mfano, wewe faza hausi ukiwa na hela nyumbani haurudi, ukirudi ni usiku wa manane, unaanza kujifanya teenager kwenda night club, yani wewe ndio wewe zikiisha unataka uonewe huruma, uko serious?
Sasa hao ndio huonewa huruma lakini husband material ndo wanapata mabalaa
 
Haswaaaa....uvumilivu wa mke kwa mumewe inategemea na treatment kutoka kwa mumewe....sometimes mwanamke anaonekana shetani akibehave kama mume wake alivokuwa kwake......na ujue mapungufu ya mwanamke ktk jamii yanaonekana sana kuliko ya mwanaume
Kwa asilimia kubwa mwanamke anamvumilia mwanaume mwenye hela tuu ukitoa Yale mapenzi ya utoto.
The rest ukiwa ukifulia na mkeo anajiona bado analipa akiona fursa anapita nayo hivo anaandaa mazingira mapema kwa kukufanyia Visa ili ahalalishe ushetani wake.
 
huo ndio ukweli, achana na KE za JF waungwana nyuma ya keyboard

huna pesa, unyumba hupewi so ni kama unauziwa tu ndoani

atajiongeza kwa kugawa papuchi nje kimyakimya, na kiburi/dharau juu, mashetani hayo
 
Mzee kunywa unachokunywa nije nilipe..... Huo ni ukweli mtupu na hapa jukwaani wanajibabadua tuu
 
Back
Top Bottom