Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
MKUU NARUDIA TENA KAMA MKEO NI SHETANI USIJUMUISHE NA WENGINE.Usipanic ukiwa shetani huwezi jijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU NARUDIA TENA KAMA MKEO NI SHETANI USIJUMUISHE NA WENGINE.Usipanic ukiwa shetani huwezi jijua
Ye kama alioa shetani apambane na shetani wake asijenerolaiziKAMA MKEO NI SHETANI HAIMAANISHI NA WAKE WA WENGINE NI MASHETANI
kabisa kuna wake wanabeba waume zao ndani na kuwastiri mnoYe kama alioa shetani apambane na shetani wake asijenerolaizi
Haswaaaa....uvumilivu wa mke kwa mumewe inategemea na treatment kutoka kwa mumewe....sometimes mwanamke anaonekana shetani akibehave kama mume wake alivokuwa kwake......na ujue mapungufu ya mwanamke ktk jamii yanaonekana sana kuliko ya mwanaumekabisa kuna wake wanabeba waume zao ndani na kuwastiri mno
hii pia utegemeana na jinsi anavyomtreat mkewe anapokuwa na pesa
Mashetani wanajikataa [emoji2][emoji2]Usipanic ukiwa shetani huwezi jijua
Hii ndio point yenyewe. Hamna mapenzi ni watu kuendekeza umalaya tuu. Wacha twende nao vile wanavyotakaNiligundua wanawake wengi sana (siyo wote) sasa ni makahaba(prostitutes) kibarua kiliota nyasi nilinuniwa na unyumba kunyimwa,halafu mambo yaliporudi sawa bila aibu anajichekelesha na kurudisha mahaba. Kwa sasa nanunua tu makahaba wasiojipanga barabarani maana sasa wanawake wenye mapenzi ya kweli wamekuwa hatarini kutoweka (extinction) mapenzi yamekuwa biashara holela.
Kwa kweli kila jambo na mrejesho wakeTabia yako ukiwa na hela ndio itakayoamua utritiwe vipi ukiwa hauna....
Sasa mfano, wewe faza hausi ukiwa na hela nyumbani haurudi, ukirudi ni usiku wa manane, unaanza kujifanya teenager kwenda night club, yani wewe ndio wewe zikiisha unataka uonewe huruma, uko serious?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba anataka kusepa kisa Pesa umetetereka.Habari wakuu.
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa.
Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako.
Ndio, sio tu kukimbilia kulaumu watu baada ya kuishiwa, wakati ulivokuwa nazo hukuwajua hao watu....Kwa kweli kila jambo na mrejesho wake
Unakuta wakat zipo alitekeleza familia leo kaishiwa anataka aonewe huruma
Ndo zao 🤣🤣🤣Mashetani wanajikataa [emoji2][emoji2]
Hapo kwenye kujiongeza ndo balaa linaanzagaMme wangu namjua akiwa hana hela anakuwa na stress mpaka nshwambia wewe ukija kukosa hela kabisa si utakufa humu ndani?lakini mimi sijawahi kaa kizembe hata siku moja nikiona mambo hayaeleweki najiongeza
Sasa hao ndio huonewa huruma lakini husband material ndo wanapata mabalaaTabia yako ukiwa na hela ndio itakayoamua utritiwe vipi ukiwa hauna....
Sasa mfano, wewe faza hausi ukiwa na hela nyumbani haurudi, ukirudi ni usiku wa manane, unaanza kujifanya teenager kwenda night club, yani wewe ndio wewe zikiisha unataka uonewe huruma, uko serious?
Kwa asilimia kubwa mwanamke anamvumilia mwanaume mwenye hela tuu ukitoa Yale mapenzi ya utoto.Haswaaaa....uvumilivu wa mke kwa mumewe inategemea na treatment kutoka kwa mumewe....sometimes mwanamke anaonekana shetani akibehave kama mume wake alivokuwa kwake......na ujue mapungufu ya mwanamke ktk jamii yanaonekana sana kuliko ya mwanaume
huo ndio ukweli, achana na KE za JF waungwana nyuma ya keyboardKwa asilimia kubwa mwanamke anamvumilia mwanaume mwenye hela tuu ukitoa Yale mapenzi ya utoto.
The rest ukiwa ukifulia na mkeo anajiona bado analipa akiona fursa anapita nayo hivo anaandaa mazingira mapema kwa kukufanyia Visa ili ahalalishe ushetani wake.
Mzee kunywa unachokunywa nije nilipe..... Huo ni ukweli mtupu na hapa jukwaani wanajibabadua tuuhuo ndio ukweli, achana na KE za JF waungwana nyuma ya keyboard
huna pesa, unyumba hupewi so ni kama unauziwa tu ndoani
atajiongeza kwa kugawa papuchi nje kimyakimya, na kiburi/dharau juu, mashetani hayo
Tena kwa ndoa halali kabisaa, na Pete kidoleni.Kwani na wewe umeolewa?