Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Nadhani hii yote majibu yanapatikana kwa namna unakuwa pale ukiwa nacho.

Huezi sema ukiwa nacho kila wakati we hushikiki na hata nyumbani hapakaliki lakini ikiwa huna ndo kutwa hupo ndani tu na tama juu hapo ni lazima akuchukulie tofauti.
 
Yaan mkuu huyu wangu kama anakudai pesa yake na pengine labda hukufanikiwa kuipata aisee hadi uwa analia machozi kama mtoto na hapo umemuhaid kwamba utampatia pesa yake
This choice I made. It hurts me so mama,
This choice i made, didnt work out the way i thought it would, this choice of mine oh!

Mama said me.
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it, you'll be happy again
 
Habari wakuu

Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi uwa anaikubali hyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa

Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako
Niligundua wanawake wengi sana (siyo wote) sasa ni makahaba(prostitutes) kibarua kiliota nyasi nilinuniwa na unyumba kunyimwa,halafu mambo yaliporudi sawa bila aibu anajichekelesha na kurudisha mahaba. Kwa sasa nanunua tu makahaba wasiojipanga barabarani maana sasa wanawake wenye mapenzi ya kweli wamekuwa hatarini kutoweka (extinction) mapenzi yamekuwa biashara holela.
 
Hao ambao hawajipangi barabarani unawanunulia wapi mkuu na standard ipo vizuri..nipe shule kijana wako,sitaki kuvuga matatizo ya bure.
 
Habari wakuu.

Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa.

Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako.
Hivi kwa mfano akinuna hivyo,halafu ukamwambia njoo huku atakataa?maana hiyo nayo ni tiba...
 
Just deal na the type of people unazokua nazo in relationships ili uache kusema wanawake wote ni mashetani,shetani ana date na shetani mwenzake 😂
Shetani anadate na binadamu.... Ila ka vip njoo tujaribu
 
Back
Top Bottom