Maneno ya jukwaani tuu hayo..😏😏hamna mashetani ka ninyiNamuongezea mahaba ili apate nguvu,hari na kasi mpya ya kupambana...maana najua akipata nusu na robo yote yangu jomoniii 😋😋
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi uwa anaikubali hyo hali
Karne hii hawapo labda walikufa maji maji warMume mtamu jamani.
Akiwa na stress mliwaze na msaidie majukumu yake pale unapoweza.
Mpe hope kwamba mambo yatakaa Sawa tu.
Believe in him, pray for him.
Mama jayaron anakupa stress ukiwa hauna mishe?Karne hii hawapo labda walikufa maji maji war
Usiogope mitihani mtoto wa kiume wewehizi mada kama zimezikuwa TOO MUCH.
inafanya nazidi kuona mke kama ni kitu kitanipotezea sana na hakina faida kabisa..
binadam tumetoufatiana..
wengine tupo SHORT TEMPER unaweza kutoa roho mda wowote!
kama mitihani unaweza kuepuka bora uepuke.Usiogope mitihani mtoto wa kiume wewe
Unataia balaa tupate sisi tuu na baba ako???
Anarudi saa saba usiku anakuambia anatoka kazini utamwambia nn na ye ndo ba mwenye nyumbaMama jayaron anakupa stress ukiwa hauna mishe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi mada kama zimezikuwa TOO MUCH.
inafanya nazidi kuona mke kama ni kitu kitanipotezea sana na hakina faida kabisa..
binadam tumetoufatiana..
wengine tupo SHORT TEMPER unaweza kutoa roho mda wowote!
Huyo anakosea sanaaaaaaaAnarudi saa saba usiku anakuambia anatoka kazini utamwambia nn na ye ndo ba mwenye nyumba
Umeniita nikaja mbio nikidhani kuna mgao wa K Vant....
Oh pole sana...Habari wakuu
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi uwa anaikubali hyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa
Ebu tupe mtazamo kwa uyo wa kwako