44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
- Thread starter
- #181
Ahsante Sana ndugu yanguKaa nae chumbani, mwambie unampenda. Asikuumize makusudi. unatambua nyendo zake.
Aliacha simu kwa makusudi ili usimpate.
usitumie hasira lakini onesha msimamo kama mwanaume.
Asipokuelewa, angalia namna ya kuishi kwa amani ya moyo wako kuhusiana na ndoa.
Binafsi niko tayari kuteseka kutafuta sh 1000 lakini siyo mahusiano.