Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Kaa nae chumbani, mwambie unampenda. Asikuumize makusudi. unatambua nyendo zake.

Aliacha simu kwa makusudi ili usimpate.

usitumie hasira lakini onesha msimamo kama mwanaume.

Asipokuelewa, angalia namna ya kuishi kwa amani ya moyo wako kuhusiana na ndoa.

Binafsi niko tayari kuteseka kutafuta sh 1000 lakini siyo mahusiano.
Ahsante Sana ndugu yangu
 
44mg44 Samahani Kiongozi..Me ni mwanamke lakin naomba nikuulize Umeoa au Umeolewa?

Aisee we ni Mwanaume? Au Mtoto wa Kiume? Samahani ila haufai kuitwa Mwanaume

Kama tu kumsimamia Mkeo huwezi hufai kua Mwanaume..unawadhalilisha Wanaume wenzio..Mkeo katoka hujui alipoenda ndani ya masaa 4🤨

Hili nalo la kuomba ushauri kweli🙃🙃🙃
Mkuu nakuona unarahisisha Sana,na nnahis changamoto za ndoa bado huzijui!! Yaan let say mtu umezaa nae watoto kdhaa mmeish nae kwa muda mrefu pia mmetoka nae mbali,harafu anakuja kukubadilikia,kubadili gia Ni ngum Sana mkuu
 
Back
Top Bottom