kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Inamaana amekasirika, hataki kero kwa wakati huo.Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mnashindwa kusaidiwa au kupewa ushauri mzuri sababu ya kuwasingizia jamaa zenu matatizo yenu.Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mwambie Jamaa yako IMEISHA HIYO.Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Hapa kuna uwezekano mkubwa jamaa alikosea tundu.Umefanya nini moto wa watu? Hawezi kukublock tu from no where
Sent from my itel A509W using JamiiForums mobile app
Haijawahi kutokea,kwanza ataanzia wapi kuniblock...Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mchana kuna mwamba anashinda nae, wewe endelea kuwa nae usikuKwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Atatuma normal txtHuyo atakua ana Jini kisirani,
Mpotezee tu,nwenyewe atajiona mjinga mwisho wa siku,
Au siku akikuomba hela mwambie baadae kidogo nitatoka ila nikumbushe kwa kunitumia msg.