Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Jamaa yako atakuwa anajua sababu. Sie tuta guess tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…