Hivi mkishapata pesa na magari hao wanawake mnawapataje?

Ukiwa huna gari akili inawaza ivyo(ukiipata watakukoma) siku ukipata gari halaf marafik zako au ndg bao wote wakawa na magari basi gari unaiona matako tu maana utahisi kila mtu anayo so ule irimbukune wa kusema utasumbua unaisha
 
Sasa hayo mambo ya kuchunwa na kunyimwa papuchi ni yako! Tunachoongea ni kumvuta aingie anga zako kumalizia utajua mwenyewe kwani nao ni binadamu wana akili. By the way! Kama huna hela huwezi pata papuchi ya uhakika utaishia zinazonuka shombo!
 
swali la msingi kwanza,
ushazipata hizo pesa na gari tayar??. maana hiyo ni stage ya kwanza, kama bado endelea kuzichanga kama tayar waombe wakupe what is next..Utaanza kuambiwa habari swag na u smart ,actually kuna hatua nying kweli yan.
ahahahahahahahahahahahah.

NB:
live your life. usipende mambo ya kufuata fuata mtiririko mambo mengine hayanaga formular.Yanakuja tu na ww unajiongeza tu hata kama huna pesa wala gari wala nyumba.
 
Msubiri amesimama kusubiri daladala kuelekea kwao unasimamisha gari unampakia.
Tayari hapo, una swali?
 
[emoji23][emoji23] nicheck bro Kama utahitaji app

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua coding? Unajua ishu za AI mashine learning? Nafikiria kwamba AI inamsaidia mteja kutongoza demu moja kwa moja. Pia AI inasaidia kuchat na demu kimahaba mpaka analiwa kimasihara.






Unaweza kuiona idea ya kiboya ila mabeberu wakiiona wakiinunua unaweza kujikuta unakuwa bilionea kimasihara.
 
😁😁😁😁😁 hao mademu wenye tabia hio niletee, nina dawa yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…