iam_cipher
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 120
- 70
😂😂
Wewe pata hizo pesa na gari kali utashangaa tumejuaje tukishakupata.
Hayo mengine tuachie sisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pata hizo pesa na gari kali utashangaa tumejuaje tukishakupata.
Hayo mengine tuachie sisi.
[emoji23][emoji23] nicheck bro Kama utahitaji appNimesoma uzi na comments. Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kutongoza mademu kwa niaba ya mtu halafu najipatia malipo. Au kuanzisha app ya kutongoza mademu.
Wadau mnaonaje wazo langu la biashara.
Kwa mujibu wa bilionea Kiduku lilo, magari ni
1.ford
2.Gmc
3.range Rover
Na kwa Toyota gari ni VX V8 bas.
Kumbe wanaoachwa na kuachika huwa hawana magari ndo maana [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] ukiwa na Gari na pesa ushamaliza kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa bilionea Kiduku lilo, magari ni
1.ford
2.Gmc
3.range Rover
Na kwa Toyota gari ni VX V8 bas.
Sasa hayo mambo ya kuchunwa na kunyimwa papuchi ni yako! Tunachoongea ni kumvuta aingie anga zako kumalizia utajua mwenyewe kwani nao ni binadamu wana akili. By the way! Kama huna hela huwezi pata papuchi ya uhakika utaishia zinazonuka shombo!Extrovert,
Sema ubaya wa kutumia pesa na gari kama chambo ya kuvutia mademu ni kuwa mademu watakupendea hela, kwahiyo ukiishiwa na wao wanasepa, wakati we unatumia laki 3 mpaka umgegede demu, mwanaume anaependwa, anapewa papuchi ya Bure
Hlf kuna mademu wengine wakikuona hivo, wanakuchuna pesa wee na papuchi hawakupi Extrovert
Aina gani?!
Mara nyingi humu jamvini mtu akija na changamoto ya kuachwa au kukataliwa watu huwa wanashauri tafuta pesa, nunua gari na blah blah nyingine.
Sasa swali langu ukiwa na pesa, unamwita mdada unamwambia mimi nina wekundu kadhaa nikubalie? Au ukiwa na gari unawapataje sasa mimi naona kama unakuwa umepunguza interaction maana kwenye public transport unakoweza kuwaotea. Hapa sizungumzii milupo na malaya wa viwanja..
Naombeni majibu maana naona kwangu bado mambo bila bila [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama woteHuwa wanakuja wenyewe kama mbu!
Hehehehe,tena wanazo Phd za ushenzi kabisa zenye laana juu.Wakifika vyumbani,vyumba vinabadilika kuwa vyoo badala ya starehe.
Unajua coding? Unajua ishu za AI mashine learning? Nafikiria kwamba AI inamsaidia mteja kutongoza demu moja kwa moja. Pia AI inasaidia kuchat na demu kimahaba mpaka analiwa kimasihara.
😁😁😁😁😁 hao mademu wenye tabia hio niletee, nina dawa yao!Extrovert,
Sema ubaya wa kutumia pesa na gari kama chambo ya kuvutia mademu ni kuwa mademu watakupendea hela, kwahiyo ukiishiwa na wao wanasepa, wakati we unatumia laki 3 mpaka umgegede demu, mwanaume anaependwa, anapewa papuchi ya Bure
Hlf kuna mademu wengine wakikuona hivo, wanakuchuna pesa wee na papuchi hawakupi Extrovert