Hivi mkoa wenye Matatizo kwa Tanzania ni Arusha pekee?

Hivi mkoa wenye Matatizo kwa Tanzania ni Arusha pekee?

Embezzler

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
2,290
Reaction score
5,716
Tumeona Makonda anavyoibua madudu mkoani Arusha. Mbona sioni wakuu wengine wa mikoa wakitatua matatizo kwenye mikoa yao?

Ina maana huko Songwe, Njombe, Kilimanjaro, TANGA na Pwani (hasa Pwani) kuko shwari?
 
Tumeona Makonda anavyoibua madudu mkoani Arusha. Mbona sioni wakuu wengine wa mikoa wakitatua matatizo kwenye mikoa Yao?
Ina maana huko Songwe, Njombe, Kilimanjaro, TANGA na Pwani (hasa Pwani) kuko shwari?
Le Commandant Field Marshal Dr Professor DAB
 
Tumeona Makonda anavyoibua madudu mkoani Arusha. Mbona sioni wakuu wengine wa mikoa wakitatua matatizo kwenye mikoa Yao?
Ina maana huko Songwe, Njombe, Kilimanjaro, TANGA na Pwani (hasa Pwani) kuko shwari?
Hahaha hujamsikia cde Malima Morogoro, kasema mkulima anaweza kuchukua hela kwa mfugaji ili aje alishe kwenye ufuta na mambo yaende
 
Kama tumepata cheo cha Naibu waziri Mkuu tunatakiwa tupate na cheo cha Mkuu wa WA WAKUU WOTE WA MIKOA na awe makonda mambo yataenda vizuri.
 
Kwenye uenezi aliwapa platform wanaoumia wasioweza kwenda mahakamani, ghafla uenezi akapewa papaa kijana wa mujini. Wanaoonewa wameufyata.
Na nyie wa Arusha msifikiri ndio mmefika, punde si punde mtaletewa mkuu wa mkoa wa Pwani au wa Songwe au wa Dodoma ili Makonda apelekwe kwingine.
 
Binafsi simpendi Makonda lakini ningefurahi Kama angepangiwa mkoa wa Pwani.
Watendaji wangepata changamoto na wakaamka.
 
Tumeona Makonda anavyoibua madudu mkoani Arusha. Mbona sioni wakuu wengine wa mikoa wakitatua matatizo kwenye mikoa yao?

Ina maana huko Songwe, Njombe, Kilimanjaro, TANGA na Pwani (hasa Pwani) kuko shwari?
hali si shwari huko, ni wakuu wake wa mikoa kufanya kazi kiulainilaini,hawana hamshaamsha nyani, ngedere na kima wanajilia shamba watakavyo wala hakuna wa kuwatia jambajamba waogope na wakimbie kula shamba
 
Back
Top Bottom