Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!
Na ukimtizama huyu anae taka mwanamke mwenye vigezo hivyo unaweza kutapika siku mbili mfululizo...
ngoja nikwambie kitu dada,unachosema kina ukweli,binafsi naamini wengi wao humu wana nyege tu zinawasumbua,hii ni kutokana na wapo kwenye maturity stage,na weng wao wapo vyuoni,sasa wanapopewa pesa zao za mikopo na wakishakunywa bia zao nyege zinawakamata na kukimbilia huku,pia maturity age's wengi hasa watoto wa mama huwa domozege,hawajui maisha ni nini in short weng wao humu wanaangukia ktk hili kundi,usishangae keep focusing on your life.
...dahh? mbona mkali hivyo bana...kuna wanaokidhi viwango vyote tajwa,
kupanga ni kuchagua jamani, kila mtu na uchaguzi wake....ndio demokrasia hiyo!
...mie akishakuwa na mwanya basi [siri yake naijua mie] mengine yatafuatia...:A S-coffee:
uwezo wako wakufikira mdogo sana dada am out
hahahahaha wanawake si ndio zenu siku hizi mnasema kinachotakiwa ni pochi
Hiyo nayo kali utapike kwakumwona mtu tu?
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!
jrafiki.
Wanafunzi walioko chuo,mbona umeweka wote,eti wakishapata mkopo..una uhakika nausemalo ndugu??
Shirikisha ubongo kwanza kabla ya kutenda.
Kama ww unawajua wanao fanya hivyo wa include wao na sio wote wa chuo.
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!
Mbu akija unistue niko kwenye kona ya pm hapo. Manake inawezekana huu mwanya wangu kama pengo haujakuwa evaluated.
Na ukimtizama huyu anae taka mwanamke mwenye vigezo hivyo unaweza kutapika siku mbili mfululizo...
Hee,we Bumpkin b,mi ninae na ninameet vigezo vyote.But kinachoniboa ni kuweka sifa zilizopitiliza ambazo kwa binadam wa kawaida kuwa nazo inakuwa ngumu,labda wa kichina au jini.kutoa vigezo si ishu,ila basi muwe mnaweka vigezo reasonable ambavyo vinaonesha mtu yuko serious. NB:Mimi tayari nimeshaolewa so kwa post hii msidhan natafuta,mm nilishaonwa siku nyingi.