Hivi mkoje nyie wanaume

Hivi mkoje nyie wanaume

vigezo vimezidi ndo maana saiv wadada wengi wanakimbilia mchina.loooooooooo!
 
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!

ngoja nikwambie kitu dada,unachosema kina ukweli,binafsi naamini wengi wao humu wana nyege tu zinawasumbua,hii ni kutokana na wapo kwenye maturity stage,na weng wao wapo vyuoni,sasa wanapopewa pesa zao za mikopo na wakishakunywa bia zao nyege zinawakamata na kukimbilia huku,pia maturity age's wengi hasa watoto wa mama huwa domozege,hawajui maisha ni nini in short weng wao humu wanaangukia ktk hili kundi,usishangae keep focusing on your life.
 
jrafiki.
Wanafunzi walioko chuo,mbona umeweka wote,eti wakishapata mkopo..una uhakika nausemalo ndugu??
Shirikisha ubongo kwanza kabla ya kutenda.
Kama ww unawajua wanao fanya hivyo wa include wao na sio wote wa chuo.
 
...dahh? mbona mkali hivyo bana...kuna wanaokidhi viwango vyote tajwa,
kupanga ni kuchagua jamani, kila mtu na uchaguzi wake....ndio demokrasia hiyo!

...mie akishakuwa na mwanya basi [siri yake naijua mie] mengine yatafuatia...:A S-coffee:

hahahahah mwanya tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa pochi nayo ni kigezo, beba boksi pata mshiko unaoa! Sasa nyie mara ooh maziwa yawe saa sita, kiuno cha nyigu, sijui mweupe, asiweke rasta, macho sijui yafanyeje na miguu gani ya konyagi! Sie tujiumbe? Ebooo!
hahahahaha wanawake si ndio zenu siku hizi mnasema kinachotakiwa ni pochi
 
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!

naomba unipm..natafuta mchumba kwa muda mlefu,sizingatii ukubwa wa masaburi wala rangi..niko siliasi..
 
jrafiki.
Wanafunzi walioko chuo,mbona umeweka wote,eti wakishapata mkopo..una uhakika nausemalo ndugu??
Shirikisha ubongo kwanza kabla ya kutenda.
Kama ww unawajua wanao fanya hivyo wa include wao na sio wote wa chuo.

umenipa ushauri mzuri sana kuwa nifikiri kabla ya kutenda,na hivyo ndivyo nilivyo my dear ila wewe umesoma kwa haraka haraka na hukuona kuwa nimesema weng wao.Unajua ndugu ukifuatilia watu wanachokiandika humu kwa umakini mkubwa utakubaliana na huyu dada aliyeanzsha hii thread na hata nami.Akili zangu haziniruhusu ku realise ni wote but mostly wapo hivyo.
 
Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au mnatafuta wa kuchezea tu na hapo ndipo napata mashaka na uwezo wenu wa kutongoza kwsbb haiwezekani jamii yote inayokuzunguka ukose unae mtaka.Mnaboa sana yan mnatufanya wadada kama vile bidhaa fulan dukani,acheni hizo!!

nyie mbna mnachagua wenye hela si hatusemi!!!??
 
Last edited by a moderator:
Mbu akija unistue niko kwenye kona ya pm hapo. Manake inawezekana huu mwanya wangu kama pengo haujakuwa evaluated.

...lol! ngoja nimtafute Mbu maana hili swala la mwanya limeshakuwa na umuhimu mkubwa 🙂🙂 na hakuna alijuaye ila ni Mbu tu 🙂
 
Na ukimtizama huyu anae taka mwanamke mwenye vigezo hivyo unaweza kutapika siku mbili mfululizo...

tatizo siyo wanaume nyie wenyewe ndiyo visababishi /chanzo zaman haikuwaga hivi.
now mwanamke amekuwa kama bidhaa so lazima mtu achague inayomkidhi na kumlizisha a.k.a yenye viwango
 
Hee,we Bumpkin b,mi ninae na ninameet vigezo vyote.But kinachoniboa ni kuweka sifa zilizopitiliza ambazo kwa binadam wa kawaida kuwa nazo inakuwa ngumu,labda wa kichina au jini.kutoa vigezo si ishu,ila basi muwe mnaweka vigezo reasonable ambavyo vinaonesha mtu yuko serious. NB:Mimi tayari nimeshaolewa so kwa post hii msidhan natafuta,mm nilishaonwa siku nyingi.

kwani kipofu anaona??

Wewe ulionwa au ulipapaswa shukuru mungu hayo masaburi ya kichina na maziwa yalimteka mumeo mixa na bikra ya kimasai ndo ukammaliza kabisaa
 
Mimi siku zote huwa wananishangaza wadada,unakuta anakuambia anatafuta mume,sharti la kwanza umri usipungue miaka 40,na awe single na hajawahi kuoa.Hapo ndio huwa nachoka kabisa.
 
Inaonekana huyu akiwa amesimama huwezi kujua mbele wala nyuma!
 
Back
Top Bottom