Hivi Mkuu wa Wilaya Ubungo atathibitishaje ukahaba wa hawa watu?

dah kuna wale wanunuzi wa machangudoa waliovyo chuchumishwa kabla ya kupanda ngarandinga aisee
 
Wanapofikishwa mahakamani hufunguliwa kesi ya "Uzembe na uzururaji"; maana Ukahaba si kosa la jinai.
 
Hao watu waliokupachika jina la machepele wapeleke polisi. Comment yako inaonyesha wewe ni mtu mwenye akili na weledi na siyo machepele.
 
Mkuu wa Wilaya ni Mawenge ya kukosa kufanya kazi za maana na zenye tija Kwa Wana jamii ya ubungo na taifa kiujumla yeye kaamua kwenda kukamata mbususu akili za hovyo mnoo
 
Kufanya jambo sahihi kwa njia isiyo sahihi ni kosa. Huenda DC alikuwa na nia nzuri ya kudhibiti ukahaba, tatizo ni njia aliyotumia
 
Mnaompinga Dc mnaona kakosea kwan wote walokamatwa sio madada poa? Hii Nchi tulisha kosea kuilekebiasha zaman tunakoelekea mashoga, madadapoa litakua jambo la kawaida kama kwa wazungu
 
We mwenyewe kahaba ndo maana unatetea chama. Ila awaache tu maana Dunia iko ukingoni kuzuia ukahaba ni kazi ngumu sana kama virus(wazungu) vinaingia nchini utaponea wapi? kwao kule ishakua kawaida tu
 
Mnaompinga Dc mnaona kakosea kwan wote walokamatwa sio madada poa? Hii Nchi tulisha kosea kuilekebiasha zaman tunakoelekea mashoga, madadapoa litakua jambo la kawaida kama kwa wazungu
madada poa (makahaba) walikuwepo toka enzi za kwenye biblia. Tafuta habari ya Kahaba Rahabu kwenye biblia, au habari ya mwanamke aliyetaka kuuliwa kwa kupigwa mawe sababu ya uzinzi lakini akaokolewa na Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…