Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Hii sio 4 REX kweli hii ?Aisee biashara inahitaji moyo,nakumbuka mwanzo nliteketeza mil 10,nikaokoa laki 4 pekee. Sito sahau. Lakini hatimaye nilianza upya baada ya muda kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio 4 REX kweli hii ?Aisee biashara inahitaji moyo,nakumbuka mwanzo nliteketeza mil 10,nikaokoa laki 4 pekee. Sito sahau. Lakini hatimaye nilianza upya baada ya muda kidogo
Hapana mkuu,Hii sio 4 REX kweli hii ?
10M Pip zikatembea mpaka 400k ukaona ngoja u close order isije a/c ikaunguaHapana mkuu,
Hata kuwa na maslai maslai madogo Nako ni kukosa option kwaiyo itakulazimisha kukaza japo utakata tamaa kwasababu hata ukiacha hela ya kula unayoAjira zetu zina maslahi madogo, kwahiyo tunadhani kuwa na biashara ya pembeni inaweza kusaidia kujikwamua kumbe tunakosea, hapo una maanisha mtu ashike moja?
Hata Hiyo bar sio unique ideaShida biashara za vijana wa siku hizi zinachekesha sana, unakuta dogo ana idea, full theory kabisa ukianza kumuuliza maswali hana majibu.
You are selling the product u didnt invent,
The formula u didnt discover,
Yaan idea haina potential yyt zaidi ya story za vijiweni tu, hajui RR iko vp, biashara za hvo walifanikiwa waloanza zamani kabla ya kuwepo kwa ushindani, sasa hivi lazima uwe na kitu unique au special.
Tutakununulia bia na soda tu, lakini kwa ideas uchwara hatukupi hata mia, hapo bora nikununulie bia ntamchangia mmiliki wa bar
Lkn ni special,Hata Hiyo bar sio unique idea
Kufeli ni moja ya progress katika kwenye biashara it's not easy that why we have fewer billionaires in the world.Wakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio...
ukifungua notebooks zetu utaona tumeandika mipango mingi ya kutoboa ila tunakosa jinsi ya kuanza.
Binafsi natamani kuwa na biashara flani ila kila nikijaribu kuanza nashindwa, muda ninao ila ninachokosa Ni (1) Rasilimali fedha (2) Rasilimali watu.
Yaani kwenye mitaji tunafeli sana, sometimes tunatamani hata kushikwa mkono na waliotangulia kufanikiwa lakini haiwezekani.
Huwa najiuliza kwanini waliofanikiwa wanakuwa na ugumu wa kumsaidia mtu kuanzisha project zake ila wapo tayari hela zao mkatumie wote kwenye starehe alafu akiachana na wewe baada ya bata hakuachii hata senti 5[emoji23][emoji23] atakununulia kitu ila sio kukupa fedha mkononi. Kuna siri gani hapo?
MASWALI MUHIMU
1. Hivi nyie mlifanikiwa vipi kuanza biashara zenu na zikaenda?
2. Hela(mtaji) mlipata wapi?
3. Siri ya kuwa mfanyabiashara ni ipi?
ASANTENI SANA[emoji120][emoji120]
Binafsi nilianza biashara baada ya kuombewa na mch Mwamposa kawe... Nilkua nashindwa kabisaa yan pesa ipo lkn ata kwa kuanzia sijui naanzajee... now mambo yanaenda nina biashara mkuu.. Thanks GodWakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio...
ukifungua notebooks zetu utaona tumeandika mipango mingi ya kutoboa ila tunakosa jinsi ya kuanza.
Binafsi natamani kuwa na biashara flani ila kila nikijaribu kuanza nashindwa, muda ninao ila ninachokosa Ni (1) Rasilimali fedha (2) Rasilimali watu.
Yaani kwenye mitaji tunafeli sana, sometimes tunatamani hata kushikwa mkono na waliotangulia kufanikiwa lakini haiwezekani.
Huwa najiuliza kwanini waliofanikiwa wanakuwa na ugumu wa kumsaidia mtu kuanzisha project zake ila wapo tayari hela zao mkatumie wote kwenye starehe alafu akiachana na wewe baada ya bata hakuachii hata senti 5[emoji23][emoji23] atakununulia kitu ila sio kukupa fedha mkononi. Kuna siri gani hapo?
MASWALI MUHIMU
1. Hivi nyie mlifanikiwa vipi kuanza biashara zenu na zikaenda?
2. Hela(mtaji) mlipata wapi?
3. Siri ya kuwa mfanyabiashara ni ipi?
ASANTENI SANA[emoji120][emoji120]
Mimi nimepoteza jumla ya milion 300 hadi nikajuatia Bora ningezifanyia ngono nisingeumia.Aisee biashara inahitaji moyo,nakumbuka mwanzo nliteketeza mil 10,nikaokoa laki 4 pekee. Sito sahau. Lakini hatimaye nilianza upya baada ya muda kidogo
Duu majibu ya maswali yote hayo ninayo labda nianza kwakukuuliza swali, je wazo la biashara unalo km unalo biashara unayotaka kuifanya unaijua? angalizo mtaji mimi nakuambia siyo tatizo. Tutajifunza hatua kwa hatua mradi tuwe na bundle la kutosha na mudaWakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio...
ukifungua notebooks zetu utaona tumeandika mipango mingi ya kutoboa ila tunakosa jinsi ya kuanza.
Binafsi natamani kuwa na biashara flani ila kila nikijaribu kuanza nashindwa, muda ninao ila ninachokosa Ni (1) Rasilimali fedha (2) Rasilimali watu.
Yaani kwenye mitaji tunafeli sana, sometimes tunatamani hata kushikwa mkono na waliotangulia kufanikiwa lakini haiwezekani.
Huwa najiuliza kwanini waliofanikiwa wanakuwa na ugumu wa kumsaidia mtu kuanzisha project zake ila wapo tayari hela zao mkatumie wote kwenye starehe alafu akiachana na wewe baada ya bata hakuachii hata senti 5[emoji23][emoji23] atakununulia kitu ila sio kukupa fedha mkononi. Kuna siri gani hapo?
MASWALI MUHIMU
1. Hivi nyie mlifanikiwa vipi kuanza biashara zenu na zikaenda?
2. Hela(mtaji) mlipata wapi?
3. Siri ya kuwa mfanyabiashara ni ipi?
ASANTENI SANA[emoji120][emoji120]
"Mzigo unaisha na hela siioni"Biashara kwa kweli sio mchezo mchezo lazima uwe na moyo mgumu.Yaani uwe tayari kuanguka na kusimama tena.
Mimi baada ya maisha kunipiga na kukosa ajira hapa mjini niliuza gari na kufungua biashara ya cosmetics...baada ya kama miezi 6 mzigo ukawa unaisha na hela siioni.Ikabidi nianze kutafuta tena mtaji wa kuibust biashara,yaani sio kazi rahisi
Mwamposa??[emoji3064][emoji3064]Binafsi nilianza biashara baada ya kuombewa na mch Mwamposa kawe... Nilkua nashindwa kabisaa yan pesa ipo lkn ata kwa kuanzia sijui naanzajee... now mambo yanaenda nina biashara mkuu.. Thanks God