Hivi Mlimani City kuna UPAKO WA KIINGEREZA?

Hahahaha mkuu umenikumbusha.. nshakutana na bint anakaa kibada.. napajua had kwao...
Ila nilishangaa anaongea ngeli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Heri yao!
Mimi hadi nikilewa pombe ndio naongea kingereza tena kimenyooka, full grammar imekaa poa.

😑😑😑😑😑
 
Heri yao!
Mimi hadi nikilewa pombe ndio naongea kingereza tena kimenyooka, full grammar imekaa poa.

😑😑😑😑😑
wabongo wengi viingereza huja kwa msimu, kuna siku mshkaji flani alikuja gheto nikamkaribusha akaingia ndani mimi nilikuwa nje napiga usafi, ile naingia ndani nikamkuta jamaa anachomoa pesa kwenye mfuko wa suruali yangu iliyotundikwa, aisee...nilikasirika nikammaindi hadi nikawa naongea kiingereza. Sijawahi kuongea kiingereza kilichonyooka kama cha siku ile aseee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…