Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona eeh sijui kuna mechanism gani palepale sjui kuna nin, mi nikifika apo pia naanza kutema yai
basi unawatu na watu haswa wa kinoMh huo upako mbona sijawahi kuupata jamani
Hii Thread ni ya kbaguz sana as sis tunao ishi Kajunjumele atupajui apo....kwan mlimani city na dar ni miji miwil tofautMkuu ulishatoka kwenye mtihani Wa kwanza
Wasambaa tumekukosea nn jamanimaana kila nnakutana nae mambo ni hivyo tu kasoro kuna wasambaa nilipishana tu walikua wanaongea kisambaa tuu
hhahaha ndo mliokuwepo mnaongea kisambaa, halafu huwa mnakazi gani hapa mjini?😕😕Wasambaa tumekukosea nn jamani
😀😀😀😀 halaf ni sauti ile ya puaniUmesahau pia wengi huwa wanasema"Tommorrow am flying to dubai"...
We mgogo umekuja lini mjini?Mlimani city ya wapi? Mbona mimi naonaga kawaida tu.
iyo sura vipiHeri yao!
Mimi hadi nikilewa pombe ndio naongea kingereza tena kimenyooka, full grammar imekaa poa.
😡😡😡😡😡
wabongo wengi viingereza huja kwa msimu, kuna siku mshkaji flani alikuja gheto nikamkaribusha akaingia ndani mimi nilikuwa nje napiga usafi, ile naingia ndani nikamkuta jamaa anachomoa pesa kwenye mfuko wa suruali yangu iliyotundikwa, aisee...nilikasirika nikammaindi hadi nikawa naongea kiingereza. Sijawahi kuongea kiingereza kilichonyooka kama cha siku ile aseee..Heri yao!
Mimi hadi nikilewa pombe ndio naongea kingereza tena kimenyooka, full grammar imekaa poa.
😡😡😡😡😡
😀😀😀😀 hata wiki haijafika, mkuu.We mgogo umekuja lini mjini?
sasa ukae utulie, uambiwe waulikaa?😀😀😀😀 hata wiki haijafika, mkuu.