Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
nahulika elo, ila nadhani wale mademu wa kizungu wanaovaa vikaptura ndo wanakuchanganya. Hata ukisikia mtu anasema 'mzima' unasikia kama kasema 'missing you' 😀😀sasa ukae utulie, uambiwe waulikaa?