Hivi Mlimani City kuna UPAKO WA KIINGEREZA?

Hivi Mlimani City kuna UPAKO WA KIINGEREZA?

wabongo wengi viingereza huja kwa msimu, kuna siku mshkaji flani alikuja gheto nikamkaribusha akaingia ndani mimi nilikuwa nje napiga usafi, ile naingia ndani nikamkuta jamaa anachomoa pesa kwenye mfuko wa suruali yangu iliyotundikwa, aisee...nilikasirika nikammaindi hadi nikawa naongea kiingereza. Sijawahi kuongea kiingereza kilichonyooka kama cha siku ile aseee..
hahaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom