Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
nahulika elo, ila nadhani wale mademu wa kizungu wanaovaa vikaptura ndo wanakuchanganya. Hata ukisikia mtu anasema 'mzima' unasikia kama kasema 'missing you' ππsasa ukae utulie, uambiwe waulikaa?
Ukoligwe kalumbu.nahulika elo, ila nadhani wale mademu wa kizungu wanaovaa vikaptura ndo wanakuchanganya. Hata ukisikia mtu anasema 'mzima' unasikia kama kasema 'missing you' ππ
πππππUkoligwe kalumbu.
hahaaaaaaaaaaaaawabongo wengi viingereza huja kwa msimu, kuna siku mshkaji flani alikuja gheto nikamkaribusha akaingia ndani mimi nilikuwa nje napiga usafi, ile naingia ndani nikamkuta jamaa anachomoa pesa kwenye mfuko wa suruali yangu iliyotundikwa, aisee...nilikasirika nikammaindi hadi nikawa naongea kiingereza. Sijawahi kuongea kiingereza kilichonyooka kama cha siku ile aseee..
Hahaha itobo -nzega???Baki kwenu huko itobo au ushirombo