Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nyumba Za Serikali Ulikuwa na Muda mujarabu kabisa kumuuliza Mwana Kanda mwenzio SUMAYE!! Mbona Mlikuwa Naye huko Chama cha Ukombozi Zaidi ya mwaka??? Ulimuogopa?? Au kwa kuwa alikuwa Mfadhili wa Gaidi by thenMbona hujaweka kashfa ya uuzaji wa Nyumba za serikali chini ya mtukufu mwendazake ?
Tupe mkakati mmojaMliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Amshukuru JK na lowasaJohn hakumshinda lowassa,aliiba kura
Mngefanya kama Msemo wa yanga KWAMBA SISI TUNA WATU!!!John hakumshinda lowassa,aliiba kura
Pole sana, kwa muda huu thamani yake bado haija anza kuonekana mpaka watakapo boronga,Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Nyumba Za Serikali Ulikuwa na Muda mujarabu kabisa kumuuliza Mwana Kanda mwenzio SUMAYE!! Mbona Mlikuwa Naye huko Chama cha Ukombozi Zaidi ya mwaka??? Ulimuogopa?? Au kwa kuwa alikuwa Mfadhili wa Gaidi by then
Mngefanya kama Msemo wa yanga KWAMBA SISI TUNA WATU!!!
Kwa kuwa JPM hakushinda Wakati Timu LOWASSA ikiwa Na watu mngeandamana kupinga Matokeo, Naamini MNGEFANIKIWA maana watu kwa Wingi wenu mgetoa shinikizo kubwa kama Misri Tunisia
Lakini usisahau Msemo wa Dr SILAA CS by then
Kwamba MLITOA CHOO NJE MKAINGIZA NDANI
Sijui kama ulifahamu IMPACT ya Kauli Hiyo kutoka kwa CS wa Chama
Wa kumuuliza ni wewe unayechanganya Madesa!!! Kwa faida ya GaidiSumaye si umwulize hata sasa? Au unamwogopa? Si yuko hapo nyumbani?
Ndo maana hakitagusa Chochote Hata Ujumbe wa Serikali ya mtaaKwa hiyo nyie choo cha nje sasa hivi mnacho sebuleni?
Kwani fomu za kuanzisha thread zimeisha jamii forum!!!!??? Nenda kwa secretary akupe fomu utengeneze uzi wako wa kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali na jpm.Mbona hujaweka kashfa ya uuzaji wa Nyumba za serikali chini ya mtukufu mwendazake ?
Mbona hujaweka kashfa ya uuzaji wa Nyumba za serikali chini ya mtukufu mwendazake ?
Nyumba za serikali ziliuzwa kwa ridhaa ya baraza la mawaziri, Sumaye akiwa waziri mkuu.Kwani fomu za kuanzisha thread zimeisha jamii forum!!!!??? Nenda kwa secretary akupe fomu utengeneze uzi wako wa kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali na jpm.
Wa kumuuliza ni wewe unayechanganya Madesa!!! Kwa faida ya Gaidi
Maana wenye Uelewa wanafahamu what happened
Na wanafahamu baada ya hizo kuuzwa ngapi zilijengwa kulinganisha na zilizouzwa
Unapaswa kuitendea HAKI NAFSI YAKO MAANA VITU VINGINE VINAEPUKIKA