Hivi mna uhakika watanzania Oktoba 29 wataandamana?

Hivi mna uhakika watanzania Oktoba 29 wataandamana?

Nje ya mitandao hakuna habari za maandamano, wanayovumisha ni ccm kwenye mikutano yao ya kampeni kuwa kuna maandamano. Vijiwe vyote mitaani havizungumzii maandamano, ni dhahiri hakuna maandamano, labda itokee rabsha ndogondogo kwenye majiji makubwa
 
Jana nlikua kwenye daladala mmama mtu mzima alikua anabishana na dereva kwamba yeye sio ccm, watu walikua wanafanya kumuonya kabisa usiongew mama utatekwa 🤣🤣🤣
Sasa kuongea tu tunaogopa unahisi tutatoka???
 
Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea

Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo

Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?

Kwani wewe ni mkenya?
 
Tarehe 29 ndo siku nchi itakua tulivu kuliko siku zote, hutaona watu mtaani wale nyumbu wanaotishia mtandaoni siku hiyo woote watajificha juu ya dari na kuendelea kupiga mikwara kwa mtandaoni, ila mtaani hali itakua tulivu sana hata sisimizi hatakufa siku hiyo
 
tunza komenti yako baada ya uchaguzi urudi kwa mrejezo
 
Watz ni ******* ******* tu. Si vijana, si wazee, si viongozi wote
 
Wewe kwanza umejiweka pembeni,sasa unategemea nani aandamane kwa ajili yako.
 
Mipango mingi ipo mitandaoni lakini kwenye mazingira halisi hakuna kitu,wananchi wako bize na maisha yao ya kuganga njaa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea

Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo

Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Kwani wewe sio Mtanzania??
 
Hakuna wa kuandamana, maandamano yalitakiwa yaanze ile siku Pole Pole ametekwa, watu wangeliamsha lakini kimyaaaaa,

October nenda katiki au kaa kwako uangalie movie kama mie
 
Nani wa kumfunga paka kengele hii stori inafanana sana na taifa la kusadikika
 
Back
Top Bottom