Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Mtunzi Shaban Robert huyo eeh?Nani wa kumfunga paka kendele hii stori inafanana sana na taifa la kusadikika
Mtunzi Shaban Robert huyo eeh?Nani wa kumfunga paka kendele hii stori inafanana sana na taifa la kusadikika
Mwamba alikuwa mbele ya mudaMtunzi Shaban Robert huyo eeh?
Endelea kuwa na mashaka.. Wat u wako kwenye count downNchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Hamna hata mmoja wa kuandamana.Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
WEWE ni mkenya?Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Huandamani tena sweetheart??Watanzia ni nyumbu wenye kiwango kikubwa cha woga uliopandikizwa na Nyerere.
Watanzania sisi ni wajinga na waoga sana. Ukitakaa kujua sisi ni waoga na wajinga jiulize ungekuwa na elimu kama ya Tundu Lissu ambayo unaweza kuajiriwa katika first world countries kibao. Ungekubali kutetea watanzania ambao wanabishana kuhusu simba na yanga hatuchezi wakati wewe upo ukonga ?Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Nikijeruhiwa au kuuwa nitakuachabna nani baby? Sitaki kuona mwanamume mwingine anakuweka ndani.Huandamani tena sweetheart??
Kwani wewe ni mkenya
Kwani wewe ni mkenya?Wewe ndo umesema Wala sijasema hivyo Ila kwa Hali ninayoiona sidhani Kama kutatokea kitu Kama hichoKwani wewe ni mkenya?