Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Mimi nina uhakika hawataandamana.Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
tunza komenti yako baada ya uchaguzi urudi kwa mrejezoTarehe 29 ndo siku nchi itakua tulivu kuliko siku zote, hutaona watu mtaani wale nyumbu wanaotishia mtandaoni siku hiyo woote watajificha juu ya dari na kuendelea kupiga mikwara kwa mtandaoni, ila mtaani hali itakua tulivu sana hata sisimizi hatakufa siku hiyo
Kwani wewe sio Mtanzania??Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?