Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

Laswell

Senior Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
144
Reaction score
191
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.

Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.

Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.

Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.

Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.

Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
 
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo. Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume. Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani. Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo. Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta. Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Mpe space na muda.
 
Hapo ndio ujue sasa ya kwamba kuna wanawake wanaopitia mengi, imagine jamaa yupo na wanaume wenzake ananuna akiwaga kwa mkewe anakuaje?.

Mwambieni akapashe kidogo mtaani hapo, akili itakaa sawa, hayo mambo nayo usipofanya muda mrefu kama ulizoea kufanya Kila baada ya muda fulani akili itakua na wenge.

Vinginevyo mpotezeeni hadi ajishtukie mwenyewe.
 
Back
Top Bottom