Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
kwa upande wangu mimi sipendi check bob,majisifu kwa wingi sipendi.napenda mtu wa kawaida tu,na mwenye kunijali na mimi namjali.kuhongwa pia sipendi.napenda tupeane vijizawadi vidogo vidogo tu.na mwanamme mwenye muelekeo na muaminifu.ila sometimes,katika maisha,unayotaka yawe,huwa hayawi.na too much honey,sweetie huwa sipendi.mara moja moja sio mbayaWewe unaangalia nini Kisukari?
Aisay kweli lakini hawa wengi wanapenda kwa masikio yani 75% ukipiga lugha wanaregea unafunga bado kiulaini kabisa :biggrin:
Uliona wapi mwanamke akawa hapendi maneno wewe, wengine msipo pewa maneno mazuri manchanganyikiwa mnakimbilia kunua kanga za mafumbo, sijui mnafikiria barua ya mapenzi.Hii statement yako Fazaa, si kweli. Mwanaume too much sweet talker for me ni laghai au tapeli wamapenzi na huwa nawapiga chini.
Umeona kama wanawake si wote kama unavyofikiri. Endelea na utafiti wako tena.
May be!
Hahahahaaah!! Kila la heri bosi.Nipo mkuu, nipo arumeru nasubiria ubwabwa wa bure kama ulivyomwagwa igunga
Sijasema 100% nimesema 85%...yani kama vile wewe ulivyo ingizwa gear na yule mme wa watu, sio wanawake wote wanakubali hivyo.Hiyo research yako uliifanyiaga wapi mkuu!!maana kwangu imegoma hata kwenye kufikirika.Yani unidanganye2 hata kama hauna mvuto nikukubali eti kisa una maneno matamu!!Ivi mmemuona uyu mwanamke ni mpumbavu kiasi gani mpaka yy asijue kupenda aishiage kupendwa2 na kudanganywa kwa maneno?
Fazaa unaumwa wewe! sijui maneno yako unayatoa wapi!Uliona wapi mwanamke akawa hapendi maneno wewe, wengine msipo pewa maneno mazuri manchanganyikiwa mnakimbilia kunua kanga za mafumbo, sijui mnafikiria barua ya mapenzi.
uwongo.labda utawapata watoto wa shule.lakini kama mimi,maneno yako kama chakula kula mwenyewe.naangalia vitu vyengine kabisa
Hiyo research yako uliifanyiaga wapi mkuu!!maana kwangu imegoma hata kwenye kufikirika.Yani unidanganye2 hata kama hauna mvuto nikukubali eti kisa una maneno matamu!!Ivi mmemuona uyu mwanamke ni mpumbavu kiasi gani mpaka yy asijue kupenda aishiage kupendwa2 na kudanganywa kwa maneno?
Umekosea, tunapenda kwa mioyo yetu. Hatupendi kwasababu nyie ni mahandsome, mnavaa vizuri, mnanukia... Lah!
Tunawapenda wanaojua thamani ya upendo na wanaojua nini mwanamke anastahili.
kwa upande wangu mimi sipendi check bob,majisifu kwa wingi sipendi.napenda mtu wa kawaida tu,na mwenye kunijali na mimi namjali.kuhongwa pia sipendi.napenda tupeane vijizawadi vidogo vidogo tu.na mwanamme mwenye muelekeo na muaminifu.ila sometimes,katika maisha,unayotaka yawe,huwa hayawi.na too much honey,sweetie huwa sipendi.mara moja moja sio mbaya
in other words kwa mwanaume uongo muhimu na kwa mwanamke kujiremba ni priority hata kama kichwani hana kitu,au sio?Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.